Bus zinazoweza nifikasha CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA kutokea Dar-es-salaam

Bus zinazoweza nifikasha CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA kutokea Dar-es-salaam

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Guys, nina safari hivi karibuni, nataka kufika CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA(NSI) kutokea Dar-es-salaam. Hivyo napenda kufahamishwa Kiasi cha nauli na mabasi gani mazuri na ambayo yanaweza kunifikisha NSI bila shida maana mimi ni mgeni maeneo hayo.

Na ningependa kufahamishwa kuhusu haya Mabasi kwa wanayoyafahamua "MOROBEST" na KIDINILO sijui ndo zinafikaga huko NSI..!!

Karibuni..
 
Guys, nina safari hivi karibuni, nataka kufika CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA(NSI) kutokea Dar-es-salaam. Hivyo napenda kufahamishwa mabasi gani mazuri na ambayo yanaweza kunifikisha NSI bila shida maana mimi ni mgeni maeneo hayo.

Na ningependa kufahamishwa kuhusu haya Mabasi kwa wanayoyafahamua "MOROBEST" na KIDINILO sijui ndo zinafikaga huko NSI..!!

Karibuni..
Ukipanda hizo basi za Kilombero, shuka Ruaha , ukishuka Ruaha ukowauliza madereva wa bodaboda au bajaj watakupeleka sidhani kama gharama yake itazisi 2000/= mpaka hapo ulipopaulizia.
 
Ukipanda hizo basi za Kilombero, shuka Ruaha , ukishuka Ruaha ukowauliza madereva wa bodaboda au bajaj watakupeleka sidhani kama gharama yake itazisi 2000/= mpaka hapo ulipopaulizia.
Aah., Kumbe Basi sahihi ni za Dar to Kilombero.., Unamaanisha mkuu
 
Chukua Kidinilo au Morobest likufikisha mpaka Ruaha hapo utachukua boda kwa 1000 au 2000(kwa kuwa we ni mgeni)
 
Mkuu utashangaa.HAUTOLIMA SANA PALE(Wana eneo dogo).So kama mtu wa mishemishe utapata muda wa kupiga ishu zako pale nyingine.Fresh sana pale
Ni kweli kabisa kiongozi, vyuo vingi vya kilimo vinachangamoto sana ya kusoma utakuta mnalima sana kuliko hata kufanya masomo ya darasani.. Na ukifail darasani ndo ushadisco hvyo
 
Back
Top Bottom