Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Ukipanda hizo basi za Kilombero, shuka Ruaha , ukishuka Ruaha ukowauliza madereva wa bodaboda au bajaj watakupeleka sidhani kama gharama yake itazisi 2000/= mpaka hapo ulipopaulizia.Guys, nina safari hivi karibuni, nataka kufika CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA(NSI) kutokea Dar-es-salaam. Hivyo napenda kufahamishwa mabasi gani mazuri na ambayo yanaweza kunifikisha NSI bila shida maana mimi ni mgeni maeneo hayo.
Na ningependa kufahamishwa kuhusu haya Mabasi kwa wanayoyafahamua "MOROBEST" na KIDINILO sijui ndo zinafikaga huko NSI..!!
Karibuni..
Aah., Kumbe Basi sahihi ni za Dar to Kilombero.., Unamaanisha mkuuUkipanda hizo basi za Kilombero, shuka Ruaha , ukishuka Ruaha ukowauliza madereva wa bodaboda au bajaj watakupeleka sidhani kama gharama yake itazisi 2000/= mpaka hapo ulipopaulizia.
Hahahahaaa sawa kiongoziUkakazane na masomo kijana
Pale unaenda piga kozi ganiHahahahaaa sawa kiongozi
Asante mkuuChukua Kidinilo au Morobest likufikisha mpaka Ruaha hapo utachukua boda kwa 1000 au 2000(kwa kuwa we ni mgeni)
Nimesoma pale mwaka mmoja nikiacha.Unaenda kupiga kozi ganiAsante mkuu
Uliacha..?Nimesoma pale mwaka mmoja nikiacha.Unaenda kupiga kozi gani
Kuna ishu moja ilitick kimtaa nikaamua bora nisake mahela kwanza na umri si unajua sema ni sehemu ya ukweli kama unaenda kupiga kilimoUliacha..?
Mwaka gani ulikuwa...?
Kuna ishu moja ilitick kimtaa nikaamua bora nisake mahela kwanza na umri si unajua sema ni sehemu ya ukweli kama unaenda kupiga kilimo
Mkuu utashangaa.HAUTOLIMA SANA PALE(Wana eneo dogo).So kama mtu wa mishemishe utapata muda wa kupiga ishu zako pale nyingine.Fresh sana paleYaah wengi wameniambia chuo ni kizuri sana, mazingira kwa ujumla.. Kumbe ulikuwepo pale..!!
Ni kweli kabisa kiongozi, vyuo vingi vya kilimo vinachangamoto sana ya kusoma utakuta mnalima sana kuliko hata kufanya masomo ya darasani.. Na ukifail darasani ndo ushadisco hvyoMkuu utashangaa.HAUTOLIMA SANA PALE(Wana eneo dogo).So kama mtu wa mishemishe utapata muda wa kupiga ishu zako pale nyingine.Fresh sana pale
Pale hizo changamoto hutozipata.Utakuja kuniambiaNi kweli kabisa kiongozi, vyuo vingi vya kilimo vinachangamoto sana ya kusoma utakuta mnalima sana kuliko hata kufanya masomo ya darasani.. Na ukifail darasani ndo ushadisco hvyo
Daah, basi vizuriPale hizo changamoto hutozipata.Utakuja kuniambia
MsamiliePale hizo changamoto hutozipata.Utakuja kuniambia
Hawa ni nani mkuuMsamilie
Maliwa
Dube
Festo Oddoro
Mama Wachitange
Jaka
Mkamila wa Linas Hotel
Mbawala
Makundi
Lyamba
Na wengineo wengi
Akikujibu nitag mkuuHawa ni nani mkuu