Kilimanjaro Express bei yake ni 33,000/- fixed price, wana router wifi, system charge seat zote, AC mwanzo wa safari mpaka mwisho, bila kusahau maji ndogo ya kilimanjaro, soda moja take away, cake moja, sweet kama ivory nk..utapata nafasi ya kupita katika hotel zao zenye viwango na ubora wa hali ya juu, chakula cha kila aina kinapatikana hapo, wahudumu wa kisambaa poa kabisa hah hah, vyoo safi na nadhifu..this is unpaid promo hah hah lakini Kilimanjaro representatives wakipita hapa lazima wanilipe babaanguππππ