Bus zuri la kwenda moshi

Bus zuri la kwenda moshi

Ohoo darling..nimefurahi.hili lina charge system!maana kuna siku nilipanda moja ya kidia bus nilikuta charge system lkn sikumbuki namba zake.na akati nasafiri tena wakanidanganya nikapanda kidia one ila nusu nilitafune maana walichoniambia sicho nilichokikuta
Wapo vizuri hao japo siishi huko.
 
Mabasi Mazuri nchii kwakweli tunapaswa kumpongeza Shabiby na Kimbinyiko kwa Usafi na uendeshaji wao nawaombea sana mjitaidi sana na pia mjitanue mpaka sehemu ngingine
 
Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten

Daby (jirani)

Husna

Shunie

Jovitha

Mondray

Karibuniii
La kutokea wapi?

Kama Dar au morogoro kuna lakrome au lim safaris

Kwangu LIM is the best. Yapo vizuri na wanajali muda.
 
Kilimanjaro Express bei yake ni 33,000/- fixed price, wana router wifi, system charge seat zote, AC mwanzo wa safari mpaka mwisho, bila kusahau maji ndogo ya kilimanjaro, soda moja take away, cake moja, sweet kama ivory nk..utapata nafasi ya kupita katika hotel zao zenye viwango na ubora wa hali ya juu, chakula cha kila aina kinapatikana hapo, wahudumu wa kisambaa poa kabisa hah hah, vyoo safi na nadhifu..this is unpaid promo hah hah lakini Kilimanjaro representatives wakipita hapa lazima wanilipe babaangu😀😀😀😀

Asante mkuu
 
Moro au Dar to Arusha .25000 tsh moshi 23000 tsh
LIM safaris na lakrome.

Kuna uzi wa namna hii tena una comments zaidi ya 600.

Waoooooo...my daby huyo..natokea kwa bashite
 
Back
Top Bottom