Wapo vizuri hao japo siishi huko.Ohoo darling..nimefurahi.hili lina charge system!maana kuna siku nilipanda moja ya kidia bus nilikuta charge system lkn sikumbuki namba zake.na akati nasafiri tena wakanidanganya nikapanda kidia one ila nusu nilitafune maana walichoniambia sicho nilichokikuta
Mkuu tuambie bus lizuri
Yeah love you more beibyAhaaa oky.nitafuatilia habari zake.asante luv kwa kushare
La kutokea wapi?Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten
Daby (jirani)
Husna
Shunie
Jovitha
Mondray
Karibuniii
Moro au Dar to Arusha .25000 tsh moshi 23000 tshWekeni na bei kabisa
Kilimanjaro Express bei yake ni 33,000/- fixed price, wana router wifi, system charge seat zote, AC mwanzo wa safari mpaka mwisho, bila kusahau maji ndogo ya kilimanjaro, soda moja take away, cake moja, sweet kama ivory nk..utapata nafasi ya kupita katika hotel zao zenye viwango na ubora wa hali ya juu, chakula cha kila aina kinapatikana hapo, wahudumu wa kisambaa poa kabisa hah hah, vyoo safi na nadhifu..this is unpaid promo hah hah lakini Kilimanjaro representatives wakipita hapa lazima wanilipe babaangu😀😀😀😀
Kama kwa bashite panda LIM safaris 25000 tu.Waoooooo...my daby huyo..natokea kwa bashite
USB ipo kwa LIM .Kuna charge system my jiran
Limepitw na wakt kwkoo mshamb wa ac [emoji12]Limepitwa na wakati.
USB ipo kwa LIM .
sijawahi bahatisha magari yenye sehemu za kuchomeka chaja moja kwa moja zaid ya coast line ya tabora. Mengi ni usb
Eeh kuna switch kabisa mkuu.Ahaha hawa coast line wameweka switch kabisa.