Busara itumike jamani! Tusaidiane.

Busara itumike jamani! Tusaidiane.

Zimba

Senior Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
113
Reaction score
14
Mimi ni mwalimu ngazi ya cheti/grade A. O-Level nilipata Math F, English D,History D, Geog C, Biology D, Civics D, Agriculture C na Kisw C. Napenda kusoma: Kilimo [any part], Procurement, Mipango na yoyote yenye masjahi zaidi. Je naweza anza na level gani? Stashahada/Shahada?
 
andaa nondo zilizoshiba halafu nenda mwenyewe chuo husika ukajieleze wewe mwenyewe vizuri sana unaweza kuingia bachelor, cheti kinaweza kukubeba. Anza na sua kwanza, kwa vyuo vingine kama saut, tumaini unaingia bachelor bila tatizo
 
Ahsante sana!
 
Back
Top Bottom