Bogus kweli wewe. Eti hapa na wewe umewaza.Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wana uharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu...
Njoo unifundishe,Unajua kusoma na kudadavua mambo?
Mwenye akili utakuwa wewe? pita hukoUsipende kudandia issue ambazo zinahitaji akili kuchangia mada.
Sasa hapo umedadavua nn wewe sukuma gang? Zile barabara ni kwaajilli ya mwendokasi mengine ni ujinga tuUsipende kudandia issue ambazo zinahitaji akili kuchangia mada.
Na kule ambako hakuna mwendokasi je???Kwani polisi wakitumia kwa dharura wakati kuna foleni na wanawahi kudhibiti uhalifu watazitafuna?
Jibu swali acha matusi wewe.Stupid question. Pumbavu
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.
Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.
Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu
Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.

km kuna umuhimu huo basi sheria za matumizi ya barabara hizo zifanyiwe amendment ili hilo unalosema liwezekanae otherwise sheria ni sheria, hii nchi kuna watu hawajui km taasisi za usalama nazo zinatakwa kufuata sheria, hilo ni tatizo kubwaKwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.
Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.
Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu
Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.
Polisi waachiwe tu watumie hizo njia.
Hakuna madhara yeyote pale wanapokuwa kwenye shughuli maalum za kiusalama.
Yule aliyewazuia hakutumia busara kabisa.