Tumia common sense kidogo tuWewe umemshairi Polepole atoe press ya kuwashauri wananchi waipende ccm kwa vile imesitisha mikutano eti inawapenda? Na waichukie CHADEMA kwa vile imeitisha mikutano eti inataka wafe?
Kifupi huu utoto wenu wapelekeeni wapuuzi wenzenu mnaokesha nao kupiga ramli. Wananchi wanajua wakati Mbowe anatangaza mikutano hakukuwa na Tangazo rasmi la Waziri kuhusu kuwepo kwa Corona zaidi ya taarifa za Kigogo 2014, baada ya Mbowe kutangaza mikutano ndo Ummy anakuja na taarifa za kuwepo mgonjwa huko Arusha. Hatudanganyiki na utoto wenu tafuteni Kiki nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya waziri ameshatangaza corona ipo,mbona mpo kimya?
Maana yake mnataka watanzania wafe kwa kuambukizana