Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Tumia common sense kidogo tu
Haya waziri ameshatangaza corona ipo,mbona mpo kimya?
Maana yake mnataka watanzania wafe kwa kuambukizana
 
Acheni kupotosha. Msiwaonee CDM. Mziki wake umepelekea waziri atangaze kuwepo Corona Jana , kabla ya Jana kulikuwa na tetesi wiki nzima. Hongera chadema kwa kuilazimisha serikali kukuri kuwepo Corona. Bila kutangaza vile pengine tungefichwa Hadi leo. By the way kauli ya Mh Mbowe ilitolewa kabla ya serikali.
 
Press ya Mbowe imefanyika kabla ya press ya Ummy Mwalimu!Akili zenu mnazijua wenyewe!
Sawa,huyo.mbowe anaona ubaya gani kutoa tangazo la kufuta hiyo.mikutano?
Ukimya wake unaonesha anapenda tufe
 
Mnaonekana wapumbavu!Sijui akili zenu zina shida gani!Unashindwa kuelewa press ya Mbowe ilikuwa kabla ya taarifa ya wizara juu ya uwepo wa Corona nchini?
Hovyo kabisa!
Hebu punguza jazba, walau kidogo.
 
Sawa,huyo.mbowe anaona ubaya gani kutoa tangazo la kufuta hiyo.mikutano?
Ukimya wake unaonesha anapenda tufe
Tumia akili,hiyo mikutano imeshaanza?Angekuwa anafanya hiyo mikutano hapo sawa!Mngemwambia Magu ambaye alikuwa na taarifa lakini akafanya mikutano all the way toka dar mpaka moro!
 
Tumia akili,hiyo mikutano imeshaanza?Angekuwa anafanya hiyo mikutano hapo sawa!Mngemwambia Magu ambaye alikuwa na taarifa lakini akafanya mikutano all the way toka dar mpaka moro!
Kwani Mbowe hatoi tangazo la kufuta hiyo mikutano?
 
Kila kitu chadema kila kitu chadema ivi chadema imewatia nini nyie watu?

Ccm mna tatizo sana mmefanya mikutano miaka 5 bila wenzenu kufanya lakini bado hamjaweza kuwashawishi wapiga kura matokeo yake mmechezea uchaguzi serikali za mitaa.
Ungejielekeza kwenye hoja kamanda acha kuweweseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Halafu mbali ya huu utoto wote ulioongea, unakuta mwili wote umejaa nywele kila mahali, lakini utoto haikuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…