Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijualikali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali.
Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina nzuri kwa Chadema kwa baadaye.