WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Uko sahihi.Ukihama chama huwezi kukisema vibaya, ila ukihamishwa chama, lazima waliokuhamisha wakutumie kuchafua chama chako ulichohama. Na hakuna jinsi lazima ufanye watakavyo ili wakuwezeshe njia yako ya kwenda chooni isiote majani.