Sio chama tu hata ukiachana na mke wako ukaanza kumsema vibayamimi mtu akihama chama chake halafu akaanza kuwatukana kule alipotoka namuona kama kichaa na mtu mjinga, sema mazuri ya ulipokwenda ili watu wakuelewe
Huyu Dada ni CCM sio @chedemaNimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijua Likali na pia kwa Msigwa,ana hoja na ukomavu wa siasa. Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali. Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina nzuri kwa Chadema kwa baadaye.
Mkuu, wakifanya hivyo itakuwa aibu ya mwaka kwao.Wakati Bulaya akitoa ushauri huo, ccm wanajiandaa kumzungusha Msigwa nchi nzima huku akimtukana Mbowe, halafu mwishowe ateuliwe kuwa DC.
CCM hawajawahi kuwa na aibu & they don't care.Mkuu, wakifanya hivyo itakuwa aibu ya mwaka kwao.
Hivi huyu dada kaolewa au ana mtu, mwambieni kuna mtu hapa ana uhitaji naye.View attachment 3036868
Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa jua kali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali.
Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina nzuri kwa Chadema kwa baadaye.
Huyo Upendo wamemtafuna sana hapo Lumumba mpaka amekongoroka na kuzeeka amebakishiwa komwe tu.Nimemsikiliza Upendo Peneza leo Segerea hawa watu hawana hoja kabisa eti anazungumzia Rushwa ya ngono nikashangaa ameijuaje kama hakushiriki kuinawirisha. wanajimaliza na kuonekana pumba kwenye majukwaa. wabadilishe mkakati
Hivi huyu dada kaolewa au ana mtu, mwambieni kuna mtu hapa ana uhitaji naye.
Huyu Dada ni CCM sio @chedema
Lowasa hakuwatukana CCM hata Magufuli alithibitisha hilo. Kutukana siyo sera ya CCM,Wawaachie upinzani siasa chafu. Wao waendelee kuwa role model wa siasa safi zisizo za kuchafuana
Naunga mkono hoja, hiki ni kichwa cha ukweli, na mimi ni miongoni mwa watu walio ki sport tangu kitambo Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!View attachment 3036868
Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa jua kali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali.
Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina nzuri kwa Chadema kwa baadaye.
Samaki huoza kuanzia kichwani...sasa hivi mwenye usukani Ccm wanadai ni msagaji. Kaazi kwelikweli.
Ukihama chama huwezi kukisema vibaya, ila ukihamishwa chama, lazima waliokuhamisha wakutumie kuchafua chama chako ulichohama. Na hakuna jinsi lazima ufanye watakavyo ili wakuwezeshe njia yako ya kwenda chooni isiote majani.View attachment 3036868
Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijualikali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima kukitukana au kukashifu chama chako cha siasa cha awali.
Huyu mama yuko vizuri kichwani ni hazina nzuri kwa Chadema kwa baadaye.