Ukihama chama huwezi kukisema vibaya, ila ukihamishwa chama, lazima waliokuhamisha wakutumie kuchafua chama chako ulichohama. Na hakuna jinsi lazima ufanye watakavyo ili wakuwezeshe njia yako ya kwenda chooni isiote majani.