PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Kiukweli mimi ni mpenzi mkubwa wa DIAMOND. lakini naangalia sporah show hapa anahojiwa ally kiba kiukweli huyu dogo ni mtu mwenye busara sana, tena ana akili na maadili. Kwa mambo aliyofanyiwa na diamond ni mtu ambaye ana uvumulivu sana, anaoneka amelelewa na akaleleka. Ila kwa muziki bado namkubali Diomond