Busara na uvumilivu wa Ally kiba

Busara na uvumilivu wa Ally kiba

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Kiukweli mimi ni mpenzi mkubwa wa DIAMOND. lakini naangalia sporah show hapa anahojiwa ally kiba kiukweli huyu dogo ni mtu mwenye busara sana, tena ana akili na maadili. Kwa mambo aliyofanyiwa na diamond ni mtu ambaye ana uvumulivu sana, anaoneka amelelewa na akaleleka. Ila kwa muziki bado namkubali Diomond
 
Diamond kamfanyia mambo gani Kiba, kuchukua tuzo za kimataifa mfululizo au?
 
domo hastahili tuzo mahali ambapo atasimama kiba,ni kimwana tu kwa king
Iliyobaki mujiliwaze tu mana hamna namna tena,ana tuzo 15 za kimataifa na bado yupo ktk tuzo 5 alizopo ktk kategori kibao. Wakati kibatali anafikiria cha kufanya DIAMOND ananyimbo si chini ya 7 zipo ndani pamoja na video zake tena ni kollabo za hatari mutajuta kumlinganisha na kibatali wenu.
 
Back
Top Bottom