Unajua kuwa Diamond kabeba tena huko Nigeria?
Sawa ila nituzotuzo ya vichochoroni
Kiukweli mimi ni mpenzi mkubwa wa DIAMOND. lakini naangalia sporah show hapa anahojiwa ally kiba kiukweli huyu dogo ni mtu mwenye busara sana, tena ana akili na maadili. Kwa mambo aliyofanyiwa na diamond ni mtu ambaye ana uvumulivu sana, anaoneka amelelewa na akaleleka. Ila kwa muziki bado namkubali Diomond
Unajua kuwa Diamond kabeba tena huko Nigeria?
Ile tuzo ya 2face aliyoipost katka hbd yake ndo unaiita tuzo yakeUnajua kuwa Diamond kabeba tena huko Nigeria?
Iliyobaki mujiliwaze tu mana hamna namna tena,ana tuzo 15 za kimataifa na bado yupo ktk tuzo 5 alizopo ktk kategori kibao. Wakati kibatali anafikiria cha kufanya DIAMOND ananyimbo si chini ya 7 zipo ndani pamoja na video zake tena ni kollabo za hatari mutajuta kumlinganisha na kibatali wenu.domo hastahili tuzo mahali ambapo atasimama kiba,ni kimwana tu kwa king