Busara Vs Kanuni

Busara Vs Kanuni

Utopolo leo mmekuwa wanaume kwa muda.. Ila haiondoi ukweli kuwa leo mngeoga mengi.
 
Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
 
Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .
Ni kweli Yanga wamefuata sheria na wapo sahihi ila viongozi wake wangeweza kutumia busara leo hii suala lingekuwa limeisha na wao kwa kufanya hivyo sio tu wanaongeza uhusiano mbaya na Tff bali hata wizara ambayo ndiyo iliyotoa agizo hilo
 
Desturi lazima ifuatwe ,hiyo wizara wiki nzima mechi yatangazwa ilikua wap hiyo wizara!? Mbona mnapenda kuziba madhaifu ya wasiojua utaratibu wa kazi ,na kuish kimazoea,
Walicho fanya young African ,faida yake mtaiona baadae na sio leo!!

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Jambo zuri ni kwamba mashabiki wote wa pande zote mbili hawana ubaya na Yanga(hakuna shabiki anayeilalamikia Yanga)...wao wanalia na TFF na Wizara hii inamaanisha hatua waliyochukua Yanga inaweza leta faida ya hii kitu kutojirudia siku za usoni,ukweli ni kwamba mswahili ukimzoesha jambo atalirudia tu mara 2,3,4...kwa hiki kilichotokea walioboronga kama wapo sawa kiakili jambo hili halitakuja tokea tena abadan...ukubwa wa hizi timu si za kuwabadilishia ratiba masaa mawili kabla ya game tena bila kuomba radhi bila sababu za msingi(si TFF si Wizara mpaka sasa wametoa sababu ya kusogeza mbele ghafla huu mchezo)wao walikuwa kama wanatoa order(kama vile wanawaambia watoto wa under 12)wakati vitu vina taratibu zake...si Simba si Yanga timu yoyote inayocheza ligi lazima iheshimiwe,kwani hili lililotokea ni kuzikosea heshima klabu zote hizi mbili na vilabu vingine vya ligi kuu kiujumla...mashabiki wameumia lkn kuna jambo linaweza kuwa limetibiwa kupitia maamuzi haya ya Yanga hasa imezipa heshima timu zote mbili kwamba "we (Simba&Yanga) are not cheap to that extent"
 
Upo sahihi sana inatakiwa watu wafate sheria
 
Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .
Ni kweli Yanga wamefuata sheria na wapo sahihi ila viongozi wake wangeweza kutumia busara leo hii suala lingekuwa limeisha na wao kwa kufanya hivyo sio tu wanaongeza uhusiano mbaya na Tff bali hata wizara ambayo ndiyo iliyotoa agizo hilo
Kufuata kanuni na kujenga utamaduni wa kufuata kanuni na sheria kuna maumivu yake.Naamini TFF hawatakaa warudie tena upuuzi kama wa jana.Endapo Yanga wangekubali ingekuwa ndio mazoea.
 
Jambo zuri ni kwamba mashabiki wote wa pande zote mbili hawana ubaya na Yanga(hakuna shabiki anayeilalamikia Yanga)...wao wanalia na TFF na Wizara hii inamaanisha hatua waliyochukua Yanga inaweza leta faida ya hii kitu kutojirudia siku za usoni,ukweli ni kwamba mswahili ukimzoesha jambo atalirudia tu mara 2,3,4...kwa hiki kilichotokea walioboronga kama wapo sawa kiakili jambo hili halitakuja tokea tena abadan...ukubwa wa hizi timu si za kuwabadilishia ratiba masaa mawili kabla ya game tena bila kuomba radhi bila sababu za msingi(si TFF si Wizara mpaka sasa wametoa sababu ya kusogeza mbele ghafla huu mchezo)wao walikuwa kama wanatoa order(kama vile wanawaambia watoto wa under 12)wakati vitu vina taratibu zake...si Simba si Yanga timu yoyote inayocheza ligi lazima iheshimiwe,kwani hili lililotokea ni kuzikosea heshima klabu zote hizi mbili na vilabu vingine vya ligi kuu kiujumla...mashabiki wameumia lkn kuna jambo linaweza kuwa limetibiwa kupitia maamuzi haya ya Yanga hasa imezipa heshima timu zote mbili kwamba "we (Simba&Yanga) are not cheap to that extent"
Ila Simba wametuaibisha
 
Yanga wangekuwa waumini wa kanuni baada ya Mwakalebela kufungiwa wasingekimbilia wizarani wangeamua kukata rufaa, wao ndio wanapenda kuwahusisha serikali kwenye maswala ya michezo kwa kisingizio timu yao ni ya wananchi
 
Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Huo utoto unauonesha wewe. Mashabiki wa kweli wa mpira wanajua Nani wa kulaumiwa. Ulitaka Yanga iwahutumie mashabiki wakati serikali ambayo ni kubwa kuliko Yanga haina huruma kwa mashabiki ambao ni wananchi wake? Yanga wangekubali ujinga ule ningewashangaa sana kama ninavyowashangaa TFF kutoa sababu ya kusogeza mbele mechi huku wakijua sababu hiyo inaweza kutumiwa na FIFA kuwaadhibu wao.
 
Ila Simba wametuaibisha
Nadhani walitaka waonekane wastaarab,watiifu katika mambo ya kijinga,kwa namna wanavyojinasibu kuwa timu bora,wa kimataifa,wameendelea kukubali haya ya TFF ni wanatia shaka sana juu ya sifa wazojipa..
 
Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Mbona wao TFF hawakuwaonea huruma Yanga kwenye kesi ya Morrison au kwenye kumfungia Mwakalebela? Mwendo ni uleule tu" If you scratch my back I scratch yours". Hakuna kulemba.
 
Huo utoto unauonesha wewe. Mashabiki wa kweli wa mpira wanajua Nani wa kulaumiwa. Ulitaka Yanga iwahutumie mashabiki wakati serikali ambayo ni kubwa kuliko Yanga haina huruma kwa mashabiki ambao ni wananchi wake? Yanga wangekubali ujinga ule ningewashangaa sana kama ninavyowashangaa TFF kutoa sababu ya kusogeza mbele mechi huku wakijua sababu hiyo inaweza kutumiwa na FIFA kuwaadhibu wao.
Akili huna Yanga wamewahi kuvunja sheria mara ngapi na TFF Ikatumia busara mrisho alisajiliwa na Yanga akiwa ana mkataba na Simba na Azam hivyo Yanga walivunja kanuni ya usajili je walipewa adhabu? Unadhani kwanini hawakupewa adhabu ya kufungiwa kusajili
 
Mbona wao TFF hawakuwaonea huruma Yanga kwenye kesi ya Morrison au kwenye kumfungia Mwakalebela? Mwendo ni uleule tu" If you scratch my back I scratch yours". Hakuna kulemba.
Mrisho ngasa alikuwa na mkataba na Simba na Azam ila Yanga wakamsajili na walivunja sheria ya kisajili je Yanga waliadhibiwa? Tunajua wazi kuwa ukimsajili mtu bila ya kufata masharti unafungiwa kusajili Simba na Azam walilalamika mwisho wa siku Yanga wakalipa hela ila hawakufungiwa mbona hamkulalamika
Pia sijasema Yanga wana makosa wapo sawa kabisa kwa hili ila viongozi wake wa sasa hawana busara wangewahurumia mashabiki
 
Hili swala ni Pana sana yanga wapo na mgogoro na TFF kwa muda sana chanzo wakisema ni TFF inaikumbatia timu flani kila lalamiko likipelekwa TFF hutupiliwa mbali na wawo wanalipa maumivu
 
Kweli kabisa ila TFF ndio wanao haribu
 
Back
Top Bottom