moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Desturi lazima ifuatwe ,hiyo wizara wiki nzima mechi yatangazwa ilikua wap hiyo wizara!? Mbona mnapenda kuziba madhaifu ya wasiojua utaratibu wa kazi ,na kuish kimazoea,Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .
Ni kweli Yanga wamefuata sheria na wapo sahihi ila viongozi wake wangeweza kutumia busara leo hii suala lingekuwa limeisha na wao kwa kufanya hivyo sio tu wanaongeza uhusiano mbaya na Tff bali hata wizara ambayo ndiyo iliyotoa agizo hilo
Jambo zuri ni kwamba mashabiki wote wa pande zote mbili hawana ubaya na Yanga(hakuna shabiki anayeilalamikia Yanga)...wao wanalia na TFF na Wizara hii inamaanisha hatua waliyochukua Yanga inaweza leta faida ya hii kitu kutojirudia siku za usoni,ukweli ni kwamba mswahili ukimzoesha jambo atalirudia tu mara 2,3,4...kwa hiki kilichotokea walioboronga kama wapo sawa kiakili jambo hili halitakuja tokea tena abadan...ukubwa wa hizi timu si za kuwabadilishia ratiba masaa mawili kabla ya game tena bila kuomba radhi bila sababu za msingi(si TFF si Wizara mpaka sasa wametoa sababu ya kusogeza mbele ghafla huu mchezo)wao walikuwa kama wanatoa order(kama vile wanawaambia watoto wa under 12)wakati vitu vina taratibu zake...si Simba si Yanga timu yoyote inayocheza ligi lazima iheshimiwe,kwani hili lililotokea ni kuzikosea heshima klabu zote hizi mbili na vilabu vingine vya ligi kuu kiujumla...mashabiki wameumia lkn kuna jambo linaweza kuwa limetibiwa kupitia maamuzi haya ya Yanga hasa imezipa heshima timu zote mbili kwamba "we (Simba&Yanga) are not cheap to that extent"Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Upo sahihi sana inatakiwa watu wafate sheriaJambo zuri ni kwamba mashabiki wote wa pande zote mbili hawana ubaya na Yanga(hakuna shabiki anayeilalamikia Yanga)...wao wanalia na TFF na Wizara hii inamaanisha hatua waliyochukua Yanga inaweza leta faida ya hii kitu kutojirudia siku za usoni,ukweli ni kwamba mswahili ukimzoesha jambo atalirudia tu mara 2,3,4...kwa hiki kilichotokea walioboronga kama wapo sawa kiakili jambo hili halitakuja tokea tena abadan...ukubwa wa hizi timu si za kuwabadilishia ratiba masaa mawili kabla ya game tena bila kuomba radhi bila sababu za msingi(si TFF si Wizara mpaka sasa wametoa sababu ya kusogeza mbele ghafla huu mchezo)wao walikuwa kama wanatoa order(kama vile wanawaambia watoto wa under 12)wakati vitu vina taratibu zake...si Simba si Yanga timu yoyote inayocheza ligi lazima iheshimiwe,kwani hili lililotokea ni kuzikosea heshima klabu zote hizi mbili na vilabu vingine vya ligi kuu kiujumla...mashabiki wameumia lkn kuna jambo linaweza kuwa limetibiwa kupitia maamuzi haya ya Yanga hasa imezipa heshima timu zote mbili kwamba "we (Simba&Yanga) are not cheap to that extent"
Kufuata kanuni na kujenga utamaduni wa kufuata kanuni na sheria kuna maumivu yake.Naamini TFF hawatakaa warudie tena upuuzi kama wa jana.Endapo Yanga wangekubali ingekuwa ndio mazoea.Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .
Ni kweli Yanga wamefuata sheria na wapo sahihi ila viongozi wake wangeweza kutumia busara leo hii suala lingekuwa limeisha na wao kwa kufanya hivyo sio tu wanaongeza uhusiano mbaya na Tff bali hata wizara ambayo ndiyo iliyotoa agizo hilo
Ila Simba wametuaibishaJambo zuri ni kwamba mashabiki wote wa pande zote mbili hawana ubaya na Yanga(hakuna shabiki anayeilalamikia Yanga)...wao wanalia na TFF na Wizara hii inamaanisha hatua waliyochukua Yanga inaweza leta faida ya hii kitu kutojirudia siku za usoni,ukweli ni kwamba mswahili ukimzoesha jambo atalirudia tu mara 2,3,4...kwa hiki kilichotokea walioboronga kama wapo sawa kiakili jambo hili halitakuja tokea tena abadan...ukubwa wa hizi timu si za kuwabadilishia ratiba masaa mawili kabla ya game tena bila kuomba radhi bila sababu za msingi(si TFF si Wizara mpaka sasa wametoa sababu ya kusogeza mbele ghafla huu mchezo)wao walikuwa kama wanatoa order(kama vile wanawaambia watoto wa under 12)wakati vitu vina taratibu zake...si Simba si Yanga timu yoyote inayocheza ligi lazima iheshimiwe,kwani hili lililotokea ni kuzikosea heshima klabu zote hizi mbili na vilabu vingine vya ligi kuu kiujumla...mashabiki wameumia lkn kuna jambo linaweza kuwa limetibiwa kupitia maamuzi haya ya Yanga hasa imezipa heshima timu zote mbili kwamba "we (Simba&Yanga) are not cheap to that extent"
Huo utoto unauonesha wewe. Mashabiki wa kweli wa mpira wanajua Nani wa kulaumiwa. Ulitaka Yanga iwahutumie mashabiki wakati serikali ambayo ni kubwa kuliko Yanga haina huruma kwa mashabiki ambao ni wananchi wake? Yanga wangekubali ujinga ule ningewashangaa sana kama ninavyowashangaa TFF kutoa sababu ya kusogeza mbele mechi huku wakijua sababu hiyo inaweza kutumiwa na FIFA kuwaadhibu wao.Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Nadhani walitaka waonekane wastaarab,watiifu katika mambo ya kijinga,kwa namna wanavyojinasibu kuwa timu bora,wa kimataifa,wameendelea kukubali haya ya TFF ni wanatia shaka sana juu ya sifa wazojipa..Ila Simba wametuaibisha
Mbona wao TFF hawakuwaonea huruma Yanga kwenye kesi ya Morrison au kwenye kumfungia Mwakalebela? Mwendo ni uleule tu" If you scratch my back I scratch yours". Hakuna kulemba.Yanga wamefata sheria ila viongozi wake hawana busara wngewaonea huruma mashabiki maana kusogezwa masaa mawili mbele sidhani kama kungewaathiri sana maana Yanga ni timu kubwa sana ila viongozi wake hawana hekima na busara watajiona kama wanawakomoa tff na bodi ya ligi lakini mambo kama haaya ukiwa kiingozi inabidi utumie hekima na busara maana siku ukija kiharibu na ww hizo kanuni zitakufanya kitu kibaya msiwasifie Yanga wamefanya utoto sana
Akili huna Yanga wamewahi kuvunja sheria mara ngapi na TFF Ikatumia busara mrisho alisajiliwa na Yanga akiwa ana mkataba na Simba na Azam hivyo Yanga walivunja kanuni ya usajili je walipewa adhabu? Unadhani kwanini hawakupewa adhabu ya kufungiwa kusajiliHuo utoto unauonesha wewe. Mashabiki wa kweli wa mpira wanajua Nani wa kulaumiwa. Ulitaka Yanga iwahutumie mashabiki wakati serikali ambayo ni kubwa kuliko Yanga haina huruma kwa mashabiki ambao ni wananchi wake? Yanga wangekubali ujinga ule ningewashangaa sana kama ninavyowashangaa TFF kutoa sababu ya kusogeza mbele mechi huku wakijua sababu hiyo inaweza kutumiwa na FIFA kuwaadhibu wao.
Mrisho ngasa alikuwa na mkataba na Simba na Azam ila Yanga wakamsajili na walivunja sheria ya kisajili je Yanga waliadhibiwa? Tunajua wazi kuwa ukimsajili mtu bila ya kufata masharti unafungiwa kusajili Simba na Azam walilalamika mwisho wa siku Yanga wakalipa hela ila hawakufungiwa mbona hamkulalamikaMbona wao TFF hawakuwaonea huruma Yanga kwenye kesi ya Morrison au kwenye kumfungia Mwakalebela? Mwendo ni uleule tu" If you scratch my back I scratch yours". Hakuna kulemba.
Hili swala ni Pana sana yanga wapo na mgogoro na TFF kwa muda sana chanzo wakisema ni TFF inaikumbatia timu flani kila lalamiko likipelekwa TFF hutupiliwa mbali na wawo wanalipa maumivuMrisho ngasa alikuwa na mkataba na Simba na Azam ila Yanga wakamsajili na walivunja sheria ya kisajili je Yanga waliadhibiwa? Tunajua wazi kuwa ukimsajili mtu bila ya kufata masharti unafungiwa kusajili Simba na Azam walilalamika mwisho wa siku Yanga wakalipa hela ila hawakufungiwa mbona hamkulalamika
Pia sijasema Yanga wana makosa wapo sawa kabisa kwa hili ila viongozi wake wa sasa hawana busara wangewahurumia mashabiki
Kweli kabisa ila TFF ndio wanao haribuHili swala ni Pana sana yanga wapo na mgogoro na TFF kwa muda sana chanzo wakisema ni TFF inaikumbatia timu flani kila lalamiko likipelekwa TFF hutupiliwa mbali na wawo wanalipa maumivu