Busara Vs Kanuni

Busara Vs Kanuni

Huo utoto unauonesha wewe. Mashabiki wa kweli wa mpira wanajua Nani wa kulaumiwa. Ulitaka Yanga iwahutumie mashabiki wakati serikali ambayo ni kubwa kuliko Yanga haina huruma kwa mashabiki ambao ni wananchi wake? Yanga wangekubali ujinga ule ningewashangaa sana kama ninavyowashangaa TFF kutoa sababu ya kusogeza mbele mechi huku wakijua sababu hiyo inaweza kutumiwa na FIFA kuwaadhibu wao.
Nyie wapumbav mbona mnawalaumu TFF wakat agizo limetoka kweny wizara inayosimamia michez?? Je TFF wana mamlaka kuliko wiraza ya michezo? Hivi mtaendelea kuwa wapumbavu hata lini? Badilikeni aisee mnatia aibu sana
 
Kweli kabisa mkuu wakati wao wanaona wamewakomoa Tff kwa suala ambalo wangeweza kutumia busara lakini wakumbuke wamewakomoa zaidi mashabiki wa mpira wakiwemo mashabiki wao waliotoka kila kona ya nchi kuja kuwapa support .
Ni kweli Yanga wamefuata sheria na wapo sahihi ila viongozi wake wangeweza kutumia busara leo hii suala lingekuwa limeisha na wao kwa kufanya hivyo sio tu wanaongeza uhusiano mbaya na Tff bali hata wizara ambayo ndiyo iliyotoa agizo hilo
Swali fikirishi hizo kanuni na sheria je Wizara ya michezo inazijua au ndiyo 60% ya kutokuwa na uelewa "herding behavior'
 
Nyie wapumbav mbona mnawalaumu TFF wakat agizo limetoka kweny wizara inayosimamia michez?? Je TFF wana mamlaka kuliko wiraza ya michezo? Hivi mtaendelea kuwa wapumbavu hata lini? Badilikeni aisee mnatia aibu sana
Hizi hasira ni za mpira pekee au umeunganisha na za ugumu wa maisha?
Labda nikufafanulie,
TFF hawezi kukwepa lawama maana yeye ndo msimamizi mkuu wa soka anayetambulika na FIFA na siyo Wizara chini ya Bashungwa. Kwa taarifa yako hakuna kinachoweza kufanywa na waziri dhidi ya soka kama kinakiuka kanuni na TFF wakasimama halafu wakaadhibiwa. Tatizo la TFF ni kushindwa kusimama kwenye taaluma inayowahusu na kuruhusu siasa ziingiliane na soka wakati wanajua moja kati ya kanuni FIFA isiyopepesa macho ni ile inayokataza serikali kuingilia utendaji wa vyama vya soka popote duniani. Wao kama wataalamu (na mwanasheria wa TFF yupo) walitakiwa kumahauri Waziri madhara ya ukiukaji wa sheria, na kama angekataa ilikuwa bora waifute mechi na kutoa sababu kuliko kusogeza muda wakijua wanavunja sheria.
 
We chalii unaelewa unachokielezea wewe? Au nikuache na upumbavu wako
 
Yanga wangekuwa waumini wa kanuni baada ya Mwakalebela kufungiwa wasingekimbilia wizarani wangeamua kukata rufaa, wao ndio wanapenda kuwahusisha serikali kwenye maswala ya michezo kwa kisingizio timu yao ni ya wananchi
what if kama hili lilipangwa huko wakimbiliapo ili mechi isichezwe baada ya kuchungulia kipigo?
Naangalia kwa jicho lingine
 
Hizi hasira ni za mpira pekee au umeunganisha na za ugumu wa maisha?
Labda nikufafanulie,
TFF hawezi kukwepa lawama maana yeye ndo msimamizi mkuu wa soka anayetambulika na FIFA na siyo Wizara chini ya Bashungwa. Kwa taarifa yako hakuna kinachoweza kufanywa na waziri dhidi ya soka kama kinakiuka kanuni na TFF wakasimama halafu wakaadhibiwa. Tatizo la TFF ni kushindwa kusimama kwenye taaluma inayowahusu na kuruhusu siasa ziingiliane na soka wakati wanajua moja kati ya kanuni FIFA isiyopepesa macho ni ile inayokataza serikali kuingilia utendaji wa vyama vya soka popote duniani. Wao kama wataalamu (na mwanasheria wa TFF yupo) walitakiwa kumahauri Waziri madhara ya ukiukaji wa sheria, na kama angekataa ilikuwa bora waifute mechi na kutoa sababu kuliko kusogeza muda wakijua wanavunja sheria.
Maelezo yanahitaj nikuandikie thread ndef ya kukuelekeza lakn nafikiria mm sio mtu wa aina hyo so wew baki na upumbav wako maana kwasababu mm sikuwahi kuwa sabab ya upumbav wako
 
Back
Top Bottom