Kwamba unapenda mwanamke awe na (titi) mtindi mkubwa kuliko tako?Imagine kila mwanaume angependa wowowo, dunia pasingetosha.
Mi napenda wale wanaota English figure sema kifuani pakiwa pamenona, bas ndio ugonjwa wangu.
Wadada wengi wanaoshobokewa kua wanashape hawana kwangu mimi nawaona kama wana disability.
Mwanamke aliejazia sana nyuma ni kama wale jamaa wabeba vyuma na watunisha misuli, big for nothing.
Mid-size girl is universal beautiful girl. Umbo kama la Nandi tu, au Zailisa, akiongozana na kijana anaetokelezea kama mimi, hapo ni perfect combo.