Busara za Selemani Msindi aka Afande Sele

Namuelewa sana nyimbo zake toka kitambo hayo mengine anayoyafanya kuvua nguo kwenye jukwaa ni yake ila mistari yake ipo vizuri mno.
Kweli kabisa
Muziki kama sanaa yuko vizuriii
 
Naona watu wanacomment kwahasira sana. Kwani selemani ndiye amewaambia muanze kula ada za watoto wenu?

Kwa nin huyu mbona hahusiki kabisa.waliaonza kuujua music zama za Diamond na Ali kiba huyu hawamuelewi anachoimba.ila kwa mtu anayemjua huyu kwa mashairi yake akaangalie shindano la mkali wa Rhymes labda na ule wimbo wa mtazamo ambao walikutana vichwa 3.ukitoa hizo bange anazovuta huko akitunga shairi ujumbe unakuwa mzito
 
Namuelewa sana. Ila tatzo sio bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…