Busara za Selemani Msindi aka Afande Sele

Busara za Selemani Msindi aka Afande Sele

Huyu jamaa achelewagi kuvua suruali mbele ya watu elfu tano. Bure kabisa huyo.
 
Huyu jamaa kabla ya njaa kuingia alikuwa ni mmoja kati ya watu wenye mistari ya hekima saana.

Enzi hizo tunasema nyimbo zake unaweza sikiliza na ukapata ujumbe na burudani kwa pamoja.

Mfano wa nyimbo zake bora kabisa ni
1. Ndugu zangu
2. Malaria
3. Mimi ni Msanii nk.

Hivyo wacha tumkumbuke Afande Sele wa zamani kama tunvyomkumbuka Prof. Kabudi wa zamani
 
Nikae napoteza my wifi au muda wangu kusikiliza hili taahira?

Jeeez
Pita kimyakimya tuu wala sio taabu
Nimeongea sasa,what says yuh?
[emoji23]
giphy.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mashairi yupo vizuri...

Ila kwenye tabia ni sifuri...
 
Ametengua radhi yake hataki msamaha wenu
Nadhani hili lilikuwa la bahati mbaya. Moja ya mashairi yake "Jebby ft Af. Sele-Swaiba" alikiongelea kifo vizuri ya kuonekana kukikubali hata kama si kukielewa"
 
Juma na swalehe hawampendi wille na Charle
Wakati tunafanana rangi ya ngozi mpaka nywele

Ile nyimbo ina ujumbe mzito sana.
 
Back
Top Bottom