Busara zangu kwa Freeman Mbowe, kubali tu, huna ushawishi tena

Busara zangu kwa Freeman Mbowe, kubali tu, huna ushawishi tena

Mbowe hatishiwi vinyago alivyovichonga mwenyewe from the scratch.
 
Hivi shida ninini,kwani kugombea kwake sanduku la kura halitakuwepo, kama watu wengi hawamtaki, siki ya kupiga kura mbona ni vyepesi tu kumuondoa.
Wanapiga wajumbe ambao ni rahisi kuwamudu, ila wanachama ni mamilion sasa hapo unamsikiliza nani?
 
Back
Top Bottom