- Thread starter
- #21
HAPANA!!Hivi huyu ndie uliyekuwa unamuullizia hapa chini?????????
Hii nilikuwa nikijipanga ili wakati wa kumsakua nisijeingia mkenge!! Nasikitika hukuchangia lolote kwenye hiyo mada lakini umeirejea leo!!
Naomba mchango wako kama umeielewa mada husika!!