Busara zenu wana JF

Hivi huyu ndie uliyekuwa unamuullizia hapa chini?????????
HAPANA!!
Hii nilikuwa nikijipanga ili wakati wa kumsakua nisijeingia mkenge!! Nasikitika hukuchangia lolote kwenye hiyo mada lakini umeirejea leo!!
Naomba mchango wako kama umeielewa mada husika!!
 
Kwanza nakupa pole,tukirudi kwenye mada mi sishauri muoane kama wazazi hawajaafiki make kila mtu ana nafasi yake na wazazi wana nafasi yao ktk ndoa yenu na kama mnataka muish kwa aman wasikilize wazazi wenu
 
Kwanza nakupa pole,tukirudi kwenye mada mi sishauri muoane kama wazazi hawajaafiki make kila mtu ana nafasi yake na wazazi wana nafasi yao ktk ndoa yenu na kama mnataka muish kwa aman wasikilize wazazi wenu
Mungu akujaalie baraka tele na busara zaidi!!
 
STIDE:
Nikupe pole sana kwa changamoto hiyo uliyokutana nayo. Katika utafutaji wako wewe hukuangalia swala la imani, lakini wazazi wa huyo binti kwao ni muhimu sana. Swali la muhimu kwako, je uko tayari kubadilisha imani ili uweze kukubaliwa kupewa huyo binti??. Nafikiri huu ni uamuzi wa muhimu sana kwako. Kama huwezi, basi nafikiri anza mchakato upya, na ukimshirikisha Mungu ili akupe wa kufanana na wewe.

All the best!
 
Nashukuru sana kwa mchango wako wa dhati, kimsingi ni kwamba binafsi siko tiyari kubadili imani yangu, ila binti anasema ilo si tatzo pia mzazi mmoja (kiume) hana comment kuhusu imani, mmoja tu ndie "ukuta wa Israeli dhidi ya Parestina!!" Najitahidi kuwa wazi ili nipate ushauri wa maana.
Huyu mzazi nifanyeje kumlainisha!!? Chukulia ingekutokea!!
 
Atafutaye hachoki na akichoka ajue kesha pata.source;Ngwear
kila la kheri mkuu
 
kaka rudi tafuta mwingine,maana safari ya ndoa ni ndefu,yawezekana mwisho wa siku huyo bint akaja jilaumu sana kwa kubadili dini yake,na hii italeta tabu hadi kwa watoto,maana watashidwa kujua waende dini gani.
tafuta wa dini yako kuepuka unknown cousequences
 

STIDE: Kama ningelikuwa mimi, nafikiri nisingeweza kufika hapo ulipofika. Maana mimi siamini katika kuoana watu wa imani tofauti, hii kwangu naona ni changamoto. So, nilimwomba Mungu anipe wa imani yangu.

Kwa kweli labda ujaribu ushauri wa wengine wa kutafuta wazee wa kuongea naye. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…