Busega: Aua Mkewe kisha naye kujinyonga kutokana na tuhuma za kusaliti Ndoa

Busega: Aua Mkewe kisha naye kujinyonga kutokana na tuhuma za kusaliti Ndoa

Wanaume wa kisukuma wakorofi..wanapenda kuabudiwa... wanawake wa kisukuma wanapenda kuzidi kipimo ndo had kudhalilishwa na kuuawa😏!kawaida sana kumkuta mwanamke wa kisukuma 50yrs kumpgia magoti kijana wa kiume wa 15 yrs !nililikataa kbs hili mm
Huko kwetu ni shida,nilishuhudia mmama akipokea kipigo cha haja kisa palichinjwa kuku Siku hiyo katika kupakua hicho kitoweo firigisi ikawa imepotea ktk mazingira tatanishi,firigisi inaliwa na baba tu.

Da ma alichezea kichapo hatari.
 
Kabla sijachangia naomba niseme sentesi haijakamilika; siku zote lazima uandike "kitu kizito chenye ncha kali" hata kama ni rungu
mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutafsiri hivyo vitu ni nini.

kwahiyo polisi wanavitaja nusu nusu.
 
Edward Manyangu (41) mkazi wa kijiji cha Ijitu Wilaya ya Busega mkoani Simiyu anadaiwa kumuua mkewe, Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao akizungumza leo Jumanne Mei 11, 2021 amesema tukio hilo lilitokea jana Mei 10, 2021 baada ya wanandoa hao kuingia kwenye mvutano kutokana na mwanaume kumtuhumu mkewe kuwa na uhusiano nje ya ndoa.

“Baada ya kutekeleza mauaji hayo, Manyangu naye alijiua kwa kujinyonga kwa kamba aliyofunga juu ya mti ulioko nje ya nyumba yao,” amesema Kamanda Abwao

Amebainisha kuwa kwa mujibu wa ujumbe wa maandishi unaoaminika kuandikwa na kuchwa na Manyangu, alikuwa akimthumu mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine.

Kamanda Abwao amesema baada ya uchunguzi wa kitabibu, miili ilikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Mwananchi
wasukuma siku hizi hawana nguvu, ndio maana wanaibiwa sana.
 
mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutafsiri hivyo vitu ni nini.

kwahiyo polisi wanavitaja nusu nusu.
Wanapata mafunzo nusunusu, maana inatajwa kuwa kazi yao ni kuwalinda raia na mali zao lakini wao ndiyo hivyo tena wanafanya kinyume chake
 
Hiyo ni kwa mujibu wa wenye sentesi yao, kumbuka yule mwandishi wa habari aliyeuawa Mufindi enzi za mkwere, walisema amepigwa na kitu kizito chenye ncha kali, na huu ni mwendelezo
Si lazima sentensi iwe hivyo, kuna vitu vizito visivyo na ncha kali
 
Si lazima sentensi iwe hivyo, kuna vitu vizito visivyo na ncha kali
Kama ulinielewa kule mwanzo nilisema hivi, wenye sentesi yao husema "kitu kizito chanye ncha kali hata kama ni rungu"
 
Kuna watu watasema mwendazake alidhibiti mpaka wivu wa mapenzi! Haa haa! Hizi kesi zimeongezeka ghafla tokea aende

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huko kwetu ni shida,nilishuhudia mmama akipokea kipigo cha haja kisa palichinjwa kuku Siku hiyo katika kupakua hicho kitoweo firigisi ikawa imepotea ktk mazingira tatanishi,firigisi inaliwa na baba tu.

Da ma alichezea kichapo hatari.
😀😀..wanangu nikienda nao home kwetu nawakaririsha njia nzima nawaambia firigisi na mapaja ni ya babu...kwangu mapaja na firigisi tunawapaga wao...weee..siku moja mama akaona show nawapakulia wao mapaja niliwekw kikao kbs na baba cha kusemwa..mambo mengine ni ushamba tu!
Mie sipendi kbs mambo ya ajabu ajabu...!
 
Wanaume wa kisukuma wakorofi..wanapenda kuabudiwa... wanawake wa kisukuma wanapenda kuzidi kipimo ndo had kudhalilishwa na kuuawa[emoji57]!kawaida sana kumkuta mwanamke wa kisukuma 50yrs kumpgia magoti kijana wa kiume wa 15 yrs !nililikataa kbs hili mm
Kiruuuu[emoji848]
 
Kuna watu watasema mwendazake alidhibiti mpaka wivu wa mapenzi! Haa haa! Hizi kesi zimeongezeka ghafla tokea aende

Everyday is Saturday............................... 😎

Jamaa huu msemo wako wa Everyday is Saturday unaukubali kinyama[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom