Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wanaume wa kisukuma wakorofi..wanapenda kuabudiwa... wanawake wa kisukuma wanapenda kuzidi kipimo ndo had kudhalilishwa na kuuawa😏!kawaida sana kumkuta mwanamke wa kisukuma 50yrs kumpgia magoti kijana wa kiume wa 15 yrs !nililikataa kbs hili mmKuna tofauti sana baina ya wanawake na wanaume Wasukuma
Mpe talaka mkuu usisumbuane nayeLakini kuna kipindi huwa inaudhi sana Mke umgharamie halafu awe mama huruma.
Huko kwetu ni shida,nilishuhudia mmama akipokea kipigo cha haja kisa palichinjwa kuku Siku hiyo katika kupakua hicho kitoweo firigisi ikawa imepotea ktk mazingira tatanishi,firigisi inaliwa na baba tu.Wanaume wa kisukuma wakorofi..wanapenda kuabudiwa... wanawake wa kisukuma wanapenda kuzidi kipimo ndo had kudhalilishwa na kuuawa😏!kawaida sana kumkuta mwanamke wa kisukuma 50yrs kumpgia magoti kijana wa kiume wa 15 yrs !nililikataa kbs hili mm
mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutafsiri hivyo vitu ni nini.Kabla sijachangia naomba niseme sentesi haijakamilika; siku zote lazima uandike "kitu kizito chenye ncha kali" hata kama ni rungu
wasukuma siku hizi hawana nguvu, ndio maana wanaibiwa sana.Edward Manyangu (41) mkazi wa kijiji cha Ijitu Wilaya ya Busega mkoani Simiyu anadaiwa kumuua mkewe, Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao akizungumza leo Jumanne Mei 11, 2021 amesema tukio hilo lilitokea jana Mei 10, 2021 baada ya wanandoa hao kuingia kwenye mvutano kutokana na mwanaume kumtuhumu mkewe kuwa na uhusiano nje ya ndoa.
“Baada ya kutekeleza mauaji hayo, Manyangu naye alijiua kwa kujinyonga kwa kamba aliyofunga juu ya mti ulioko nje ya nyumba yao,” amesema Kamanda Abwao
Amebainisha kuwa kwa mujibu wa ujumbe wa maandishi unaoaminika kuandikwa na kuchwa na Manyangu, alikuwa akimthumu mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine.
Kamanda Abwao amesema baada ya uchunguzi wa kitabibu, miili ilikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Mwananchi
Wanapata mafunzo nusunusu, maana inatajwa kuwa kazi yao ni kuwalinda raia na mali zao lakini wao ndiyo hivyo tena wanafanya kinyume chakemahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutafsiri hivyo vitu ni nini.
kwahiyo polisi wanavitaja nusu nusu.
Si lazima sentensi iwe hivyo, kuna vitu vizito visivyo na ncha kaliHiyo ni kwa mujibu wa wenye sentesi yao, kumbuka yule mwandishi wa habari aliyeuawa Mufindi enzi za mkwere, walisema amepigwa na kitu kizito chenye ncha kali, na huu ni mwendelezo
Kama ulinielewa kule mwanzo nilisema hivi, wenye sentesi yao husema "kitu kizito chanye ncha kali hata kama ni rungu"Si lazima sentensi iwe hivyo, kuna vitu vizito visivyo na ncha kali
DuhKwani mtu akisex na mtu anaempenda inakuuma Nini? Si alirudi nyumbani maisha yaendelee tu??
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
😀😀..wanangu nikienda nao home kwetu nawakaririsha njia nzima nawaambia firigisi na mapaja ni ya babu...kwangu mapaja na firigisi tunawapaga wao...weee..siku moja mama akaona show nawapakulia wao mapaja niliwekw kikao kbs na baba cha kusemwa..mambo mengine ni ushamba tu!Huko kwetu ni shida,nilishuhudia mmama akipokea kipigo cha haja kisa palichinjwa kuku Siku hiyo katika kupakua hicho kitoweo firigisi ikawa imepotea ktk mazingira tatanishi,firigisi inaliwa na baba tu.
Da ma alichezea kichapo hatari.
Sijui why ghafla hiviKuna watu watasema mwendazake alidhibiti mpaka wivu wa mapenzi! Haa haa! Hizi kesi zimeongezeka ghafla tokea aende
Everyday is Saturday............................... 😎
Hahahahahahaah! Naishia hapaKwani mtu akisex na mtu anaempenda inakuuma Nini? Si alirudi nyumbani maisha yaendelee tu??
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hivi ukichukua uume wako ukaudumbukiza mahali Kuna haja ya wewe kuhukumiwa kweli? Me nadhani sex iko ovaratedDuh
Ova
Kuna shida mkuu??Hahahahahahaah! Naishia hapa
Hakuna kwakweli...basi tu akinya bata...
Kiruuuu[emoji848]Wanaume wa kisukuma wakorofi..wanapenda kuabudiwa... wanawake wa kisukuma wanapenda kuzidi kipimo ndo had kudhalilishwa na kuuawa[emoji57]!kawaida sana kumkuta mwanamke wa kisukuma 50yrs kumpgia magoti kijana wa kiume wa 15 yrs !nililikataa kbs hili mm
Mbona umeshangaa witiKiruuuu[emoji848]
Kuna watu watasema mwendazake alidhibiti mpaka wivu wa mapenzi! Haa haa! Hizi kesi zimeongezeka ghafla tokea aende
Everyday is Saturday............................... 😎