Busega: Mvutano mkali waibuka kati ya mwakilishi wa CHAKUHAWATA na mkurugenzi mtendaji bwana Maiko R.Kachoma

Samwel90

Member
Joined
Jan 22, 2025
Posts
87
Reaction score
66
Licha ya maelekezo kutoka serikalini yanayomtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, ndugu Maiko Richard Kachoma, kutekeleza sheria zinazohakikisha uhuru wa mtumishi kujiunga na chama cha wafanyakazi cha uchaguzi wake, bado ameendelea kukaidi maagizo haya kwa takribani mwaka Mmoja sasa.

Kwa kutumia mamlaka yake, Bwana Kachoma amemwandikia mwalimu Raphael Omondi barua ya kujieleza ndani ya siku saba, akitaka maelezo ya kwa nini asimuchukulie hatua kwa kushiriki katika chama cha walimu CHAKUHAWATA. Mara nyingi, mkurugenzi huyu ameonesha jeuri na kuapa kwamba hakuna mtu wa kumwelekeza afanye nini, hali ambayo imemfanya kupuuza barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu Kiongozi- Ikulu.

Sasa, kwa dhihaka zaidi, ameapa kumfukuzisha kazi mwalimu Raphael Omondi kwa kutaka kujiondoa kutoka CWT na kujiunga na CHAKUHAWATA.

Wito Kwa Mamlaka za Uteuzi

Ni muhimu mamlaka za uteuzi zichukue hatua kuhusu mwenendo wa Bwana Kachoma, ambaye badala ya kuwa kiungo kati ya serikali na watumishi wa umma, amekuwa chanzo cha chuki kati ya watumishi wa umma na serikali.

Takribani mwaka mzima sasa, walimu wa Busega wamekuwa katika mvutano na mkurugenzi huyu, ambaye ameonesha dharau ya hali ya juu kwa mamlaka.

Wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano

Tunakumbushia kuhusu hotuba yako ya Mei Mosi, ambapo uliweka wazi kuwa serikali haitajiingilia uundaji, usimamizi, na uendeshaji wa vyama vya wafanyakazi. Ulisisitiza kuwa watumishi wanapaswa kuwa huru kujiunga na vyama wanavyoona vina manufaa kwao. Sasa kwanini bwana Kachoma amekuwa kama ndiye katibu mkuu wa CWT kwa kuwaamlia walimu ni chama kipi wajiunge,hivyo tunahitaji msaada wako ili kuondoka Mvutano baina yetu sisi walimu na huyu mkurugenzi.

Soma Pia: Mkurugenzi wa wilaya ya Busega yuko juu kimamlaka kuliko Katibu Mkuu Kiongozi?

Kitendo cha mkurugenzi huyu kuendelea kuwakingia kifua CWT huku akikaidi mamlaka za uteuzi zinazomtaka afuate sheria za utumishi na mahusiano kazini kina tia shaka juu ya utendaji kazi. Wake,huku ikijidhihirisha dhahiri kuwa ana masrahi mapana kw enye chama cha CWT.

Kwa msingi huo msheshimiwa Rais, tunakuomba msaada wako katika kuhakikisha haki za watumishi wa umma zinazingatiwa.

IMG_20250527_143601_804~3.jpg

---
 
View attachment 3354906

---
Atakuwa ana maslahi nayo Binafsi,usiwe ni majungu mkuu!
 
Lakini mwl hapo umechemka. Mbona barua ipo wazi kabisa kwamba hamfuati taratibu ndio maana mkurugenzi kamlima barua katibu. Ukiisoma barua inajitosheleaa kuwa mkurugenzo yupo tayari kuwahudumia CHAKUHAWATA tatizo hamfuati taratibu ikiwemo kujitambulisha.
 
Hiko CHAKUHAWATA ndio kile chama cha wapiga punyeto?
sijawahi kukisikia....
 
Huyo mkurugenzi atakuwa na masirahi na hao wapuuzi cwt.Sio Bure.Huyo anapewa kitu na hao cwt.Amkeni waalimu.mkomalieni huyo bwege ili aache ujinga wake.Cwt ni jipu.
 
CWT ni CCM pure, walimu wamepiga kelele wamechoka wakurugenzi wameziba kila kona mtu kukihama hicho chama Cha wezi CWT!
 
Huyu mkurugenzi si ndio makada, hawanaga kufikiri hata, ni mpumbavu sana! Rubbish! Cwt ni wezi wakubwa sana!
 
Lakini mwl hapo umechemka. Mbona barua ipo wazi kabisa kwamba hamfuati taratibu ndio maana mkurugenzi kamlima barua katibu. Ukiisoma barua inajitosheleaa kuwa mkurugenzo yupo tayari kuwahudumia CHAKUHAWATA tatizo hamfuati taratibu ikiwemo kujitambulisha.
Taratibu zote tumefuata na aliambiwa na katibu mkuu - ikulu ashughulikie na atujibu kwa barua hajafanya hivyo na matokeo yake anaibuka kuja kumtaka kiongozi amwandikie barua ya maelezo kwanini asimuchukulie hatua.

Chakuhawata na walimu sio wajinga wa kishindwa kufuata utaratibu,huyu DED anapenda mivutano
 
Mnasubiri nn kwenda CMA?
 
Back
Top Bottom