Bush mdogo akaamuru kahaba anyongwe……………..!

Angeanza yeye kwanza kuwahurumia aliowaua.

Alipokuwa anaua alikuwa ametawaliwa na shetani hakuwa na hurruma hata kidogo.
Sasa amebadirika ni mtu mpya kazaliwa upya ktk christ aliye hai.

Alisikitisha sana, yaani niliangalia kwa sababu walionyesha sana kifo chake hata masaa machache kabla ya kufa alikuwa anaonyeshwa akiongea na alikuwa anatabasamu, hofu ya kifo sijui haikumwingia!
 
Alisikitisha sana, yaani niliangalia kwa sababu walionyesha sana kifo chake hata masaa machache kabla ya kufa alikuwa anaonyeshwa akiongea na alikuwa anatabasamu, hofu ya kifo sijui haikumwingia!

Aliowaua nao uliwasikitikia?
 
Aliowaua nao uliwasikitikia?

Kifo chao kilisikitisha sana sana,
Hawakuwa na muda wa kujitetea, but huyu dada alikubali kuwa ameua na historia yake ikaelezewa.
Historia yake imejaa disappointment tele.
Kazaliwa katikati ya ndoa ya mtu,
Kasababisha mama yake kuachika
Kaanza kuyavuta ktk umri mdogo
Kaanza kuuzwa na mama yake akiwa mdogo
Kaolewa akiwa na umri kama wa lulu aliosema baba yake gazetini

Hakuwahi kuiona nia na kweli hadi alipofika jera
Akaiona kirahisi na kumpokea bwana na akazaliwa upya
Kwa vile alizaliwa upya alipaswa kuhurumiwa, alishauvua ule mwili wa zamani!
 

Hayo yote hayahalalishi yeyote yule kuua kikatili kama alivyofanya yeye. Wangapi wanapitia magumu kuliko hayo na hawaui binadamu wenzao?

Kwanza ashukuru tu kuwa hakuuliwa kama alivyowaua wao. Kafa kifo cha heshima na kisicho na maumivu.

Hakuwahi kuiona nia na kweli hadi alipofika jera
Akaiona kirahisi na kumpokea bwana na akazaliwa upya
Kwa vile alizaliwa upya alipaswa kuhurumiwa, alishauvua ule mwili wa zamani!

Aah wapi, huyo muuaji alistahili kucharangwa mapanga hadi afe.
 
Kama vile inahusiana na issue ya binti Lulu... just thinking loudly!!
 


MH
Tunatofautiana upokeaji
Na siku hiyo alikuwa amekula bange ya kutosha !

Tusamehe 70 mara 70
Panga kwa panga mhhh!
 
Kama vile inahusiana na issue ya binti Lulu... just thinking loudly!!

Jamani zinatofautiana sana,

Ya lulu hatujui labda jamaa alikuwa ngonjwa?

Faye yeye ni mapanga shwaaa!
 
MH
Tunatofautiana upokeaji
Na siku hiyo alikuwa amekula bange ya kutosha !

Tusamehe 70 mara 70
Panga kwa panga mhhh!

Njia pekee ya kuwatendea haki wahanga ilikuwa ni kumuua tu.

Iwapo angeachiwa aendelee kuishi haki kwa wahanga ingekuwa imetendekaje?
 
Nilikuwa mdogo nikisikia watu wanazungumzia hii kesi. Sikuelewa kwanini? Ila na mimi ningekuwa upande wa Papa. Asante tena kwa simulizi za kweli zakusisimua
 
Mtambuzi, umeshawahi kumsikia Jeffrey Dahmer?
Jeffrey Lionel Dahmer (May 21, 1960 – November 28, 1994) was an American serial killer and sex offender. Dahmer murdered 17 men and boys between 1978 and 1991, with the majority of the murders occurring between 1987 and 1991. His murders involved rape, dismemberment, necrophilia and cannibalism. On November 28, 1994, he was beaten to death by an inmate at the Columbia Correctional Institution, where he had been incarcerated.

Nadhani nimekujibu................................
 


Mwenyezi MUNGU ana njia zaidi ya elfu moja ktk kumokoa binadamu (aliwaacha wale 99 waliopotea kwa ajili ya kondoo mmoja. sijui kama nimenukuu sawa)
Pamoja na kuishi ktk hali ya uchafu Faye bado alionekana kuwa wa thamani machoni pa MUNGU ndio sababu alipelekwa gerezani ili aweze kubadilika huko.
 

Angekuwa na thamani asingeua wenzake.
 
Jamani zinatofautiana sana,

Ya lulu hatujui labda jamaa alikuwa ngonjwa?

Faye yeye ni mapanga shwaaa!
Hapana NATA, ilikuwa SURURU Shwaaaaaa..........................LOL
Najaribu kujenga picha, eti kila akimtwanga jamaa na SURURU, anapata MSHINDO.....yaani anafika Kileleni kama vile anajamiiana....... Kweli ilikuwa ni Killing with pleasure.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…