Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Huyo atakukimbia ukiishiwa hela ya koni, nduguyo hakimbii.
Au utaenda Arusha?
Au utaenda Arusha?
Mwajuma si yupo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwajuma si yupo...
Huyo atakukimbia ukiishiwa hela ya koni, nduguyo hakimbii.
Au utaenda Arusha?
Haya, hii ya mwisho kabisa.:focus:
Arusha nikafanye nini?
:shock::shock::shock:, hutaki tena?
Tupa huyo
:scared: :disapointed:, Nina maswali ila naogopa.
Si unajua mie naheshimu maamuzi ya wakubwa.
Hapa kinachopendwa ni uwazi na ukweli tu. Hivyo uliza na utajibiwa.
Taka taka ile nimetupa jalalani.
Angekuwa na thamani asingeua wenzake.
Hakuwa akijua alitendalo.
Hapana NATA, ilikuwa SURURU Shwaaaaaa..........................LOL
Najaribu kujenga picha, eti kila akimtwanga jamaa na SURURU, anapata MSHINDO.....yaani anafika Kileleni kama vile anajamiiana....... Kweli ilikuwa ni Killing with pleasure.........
Habari babu DC?
Za kupotea?
Salama mkuu,
Nipo nipo tu ndugu...Maombolezo yamenizidi nguvu!!