Busha

Busha

Jibu swali,
unalo au huna?
Vp bro?
Busha sunna bibie. Unadhani huu suli naopiga ni fasheni?

Afu kina dada walaipenda, wakati wa gemu linatekenya kitoa kinyesi basi full burdan ka wachuchu.....

Unataka kujaribu uone ladha yake? Come this way....
 
Akhuuu!!
Likinipasukia katikati ya gemu je?
 
Afu nawe kwa umbea? Hii thread ya 2010 umeenda kuichokonoa, ilikuambia inawashwa?

Goodmorning Madame B?

Ina maana miaka ile anajoin Jeiefu wakati unamkagua hukulijua hilo la umbea ?
Au ulimkagua juujuu ?
Ama alikaguliwa mkaguzi msaidizi?
 
Last edited by a moderator:
Judgement,
Busha ndo mwake.
Unapata faida mbili.
Kwanza unaweza kulifanya mto wa kulalia,
pili unaweza ukacheza nalo.

Alaa kumbe! Alafu nimeskia kwenye rejea hadidu za sensa , kama mtu analo watakiwa uliorodheshe! So soon later, the state know howmany bushas we have !
 
Last edited by a moderator:
Alaa kumbe! Alafu nimeskia kwenye rejea hadidu za sensa , kama mtu analo watakiwa uliorodheshe! So soon later, the state know howmany bushas we have !

kwi kwi kwi kwi,
unanivunja mbavu zangu,
halafu watawasaidiaje?
Au ina maana nayo ni viumbe hai?
Kwi kwi kwi kwi.
 
Ina maana miaka ile anajoin Jeiefu wakati unamkagua hukulijua hilo la umbea ?
Au ulimkagua juujuu ?
Ama alikaguliwa mkaguzi msaidizi?

Ndo hapo sasa,
hakulijua tangu awali wakati alinikagua yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom