Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaribu tu mkuu..huwezi jua ndo utatokea hapo kaka...Habari zenu wana jamii. Nimekua nikitafuta fund kwa muda mrefu nikabahatika kukutana na kampuni ya SYRIA inayojulikana kwa jina la (HAROUN HOLDING COMPANY) C.E.O wa kampuni hii amejitambulisha kwangu kwa jina la E.H Haroun al Assad. Baada ya mazungumzo nae akanitaka nimtumie business plan ili aweze kuni fund , baada ya kumtumia alinijulisha kua ameamua ku fund hiyo project yangu kulingana na masharti aliyo nipa. Baada ya hapo akaniuliza kama nipo tayari kufuata masharti niwasiliane na mwanasheri ambaye ni Managing partner wao. Alinitambulisha kuwa jina la mwanasheria huyo ni Dr Nahel Al Masree esq. Baada ya kuwasiliana na huyo lawyer akanitaka nimtumie personal information zangu pamoja na adress yangu na Id ndio aweze kunijulisha cha kufanya. SASA NDUGU ZANGU mimi bado sina imani na hawa jamaa kama ni matapeli au hivyo nashindwa kuwatumia maelezo yangu binafsi. SWALI NI JE kuna mtu yeyote hapa anajua kuhusu hiyo kampuni H.H.C? Naombeni msaada
imekuaje tena mkuuuu...eeeehhhhh?Wadau hawajamaa ni matapeli. Kama ukibahatika kukutana nao online achana nao kabisa. Kuwa makini utaliwa
imekuaje tena mkuuuu...eeeehhhhh?
imekuaje tena mkuuuu...eeeehhhhh?
Maoni yangu:
hiyo hela ni ndefu-- kama kuna mizengwe au hakuna huwezi jua, cha maana fuata procedure, tafuta na lawyer wako awepo soma mikataba mnayowekeana, mwombe uthibitisho wa fedha halali, kwasababu wajanja wako wengi, unaweza ukahusishwa na money laundering wakati wewe nia yako ilikuwa kutafuta pesa kihalali kwa jasho la project yako!
Ujanja janja wote weka pembeni-- usiiangalie kwa jicho la pesa ya haraka haraka-- ukaacha procedure za muhimu baadae ukaja kujuta!
kila la kheri
jamaa bana nimewaomba udhibitisho wa uwepo wa kampuni (makampuni) yao ila wameshindwa kufanya hivo. Wameishia kunitumia mikataba yao na kunitaka niingize kiasi cha $2,500 kwenye akaunt waliyo nitumia huku wakidai kua ni ya insurence company. Kwakufanya vile wata nitumia huo mkopo kwa muda wa masaa 48.