Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwa nini wewe usiwakemee hao ccm wemzako?Hutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini wewe usiwakemee hao ccm wemzako?Hutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi.
Nyie ndio chawa mliosifiwa juzi na mama yenu, msiojua kutumia akili wala kuunganisha matukio, mnaotetea wizi unaofanywa na wajomba wa mama yenu.Nipe uthibitisho hapo ni Tanzania. Kuna mijitu mizwazwa sana
Kwa iyo mie naweza kuokota picha mahali popote huko nikaiweka hapa nikasema Tanzania alafu mkaamini??
Kweli ujinga kipaji
Mimi sio chawa na mimi sio mjinga. We niambie jambo lipi limekufanya uamini hapo ni Tanzania? Mkiacha ujinga hamtalishwa matango pori hovyo hovyoNyie ndio chawa mliosifiwa juzi na mama yenu, msiojua kutumia akili wala kuunganisha matukio, mnaotetea wizi unaofanywa na wajomba wa mama yenu.
asaliHili dubwasha linahemea vitu gani?
Limetua tena? Kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja[emoji848][emoji3064]
Lile lile la mara ya kwanzaNi ingine tena hii?
Malihai[emoji24]Hili dubwasha linahemea vitu gani?
Ficha ujinga wako kwa kukaa kimyaHutasikia Lisu, Mbowe wala Zito wakikemea huu wizi.
Unaongea kitu usichokijua. Kwenye uwindaji mnyama lazima awekafa ili uweze kumsigelea ww unaposema wakamchinje akiw hajafa unajielewa nn umeandika?Kama watalii wanafanya uwindaji wa kitalii, unategemea wanyama wanaowawinda wasafirishwe kwa njia gani? Au mnataka wakale kibudu?
Mnyama anatakiwa kusafirishwa kabla hajakata roho ili akachinjwe, afanywe kitoweo. Au watalii wetu hawali wanyamapori?
Mama amefungua nchi jamani, wanyama wapo wengi hadi wengine wanavamia makazi ya wananchi...wauzwe tu
Mkuu,ujinga sifa yake kuuu ni kutojifichaa. Upepo ukipita tuuu lazima ujinga ujianike.Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Wee kwahiyo wanaokula nyamapori wanakula vibudu?Unaongea kitu usichokijua. Kwenye uwindaji mnyama lazima awekafa ili uweze kumsigelea ww unaposema wakamchinje akiw hajafa unajielewa nn umeandika?
Hebu angalia documentary za wawindaji kwenye vitalu vyao utajifunza kitu. Na hili swala la kibudu kwani kibudu hasa ni nini au wavaa kanzu walipokuja na sera zao za wao wakichinja ndio nyama halali basi tumekariri. Imagine muarabu anawanunulia wanae paketi la soseji je nyama iliotumika kuzitengeneza wamethibitisha wapi kwamba muislamu kaichinja ili isiwe kibudu/haramu?Wee kwahiyo wanaokula nyamapori wanakula vibudu?
Mie nilijua wanamuwahi kabla hajafa!
I see!🤔