Business as usual

Nipe uthibitisho hapo ni Tanzania. Kuna mijitu mizwazwa sana

Kwa iyo mie naweza kuokota picha mahali popote huko nikaiweka hapa nikasema Tanzania alafu mkaamini??

Kweli ujinga kipaji
Nyie ndio chawa mliosifiwa juzi na mama yenu, msiojua kutumia akili wala kuunganisha matukio, mnaotetea wizi unaofanywa na wajomba wa mama yenu.
 
Nyie ndio chawa mliosifiwa juzi na mama yenu, msiojua kutumia akili wala kuunganisha matukio, mnaotetea wizi unaofanywa na wajomba wa mama yenu.
Mimi sio chawa na mimi sio mjinga. We niambie jambo lipi limekufanya uamini hapo ni Tanzania? Mkiacha ujinga hamtalishwa matango pori hovyo hovyo
 
Kama tunaenda DUBAI kuangalia maghorofa basi muda si mrefu tutaenda kuangalia wanyama wetu na kulipia
 
Unaongea kitu usichokijua. Kwenye uwindaji mnyama lazima awekafa ili uweze kumsigelea ww unaposema wakamchinje akiw hajafa unajielewa nn umeandika?
 
Unaongea kitu usichokijua. Kwenye uwindaji mnyama lazima awekafa ili uweze kumsigelea ww unaposema wakamchinje akiw hajafa unajielewa nn umeandika?
Wee kwahiyo wanaokula nyamapori wanakula vibudu?
Mie nilijua wanamuwahi kabla hajafa!
I see!πŸ€”
 
Wee kwahiyo wanaokula nyamapori wanakula vibudu?
Mie nilijua wanamuwahi kabla hajafa!
I see!πŸ€”
Hebu angalia documentary za wawindaji kwenye vitalu vyao utajifunza kitu. Na hili swala la kibudu kwani kibudu hasa ni nini au wavaa kanzu walipokuja na sera zao za wao wakichinja ndio nyama halali basi tumekariri. Imagine muarabu anawanunulia wanae paketi la soseji je nyama iliotumika kuzitengeneza wamethibitisha wapi kwamba muislamu kaichinja ili isiwe kibudu/haramu?
 
Kuna wimbo wa hiphop unaitwa kua uone.

Kunabkipande kinasema kua uone wanaokula nchi kua uone wanaotembea nusu uchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kiufupi tumekua na tunayaona ila muda utasema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…