Business card ya Boss Ruge na Mhe. Makonda

Business card ya Boss Ruge na Mhe. Makonda

Vitu viwili tofauti kabisa unafananisha!

kwahiyo unataka kuniaminisha kuwa kuna tofauti

1-kati ya wewe unayemuita member mwenzako wa JF MKUU wakati hana ukuu wowote kwako na anaweza hata akawa umri sawa na katoto kako

2-na yeye anayemuita RUGE boss ruge

nimekataa kuaminishwa kuwa hapo kuna tofauti
 
Tuseme hivi: huoni tofauti kati ya mambo mawili? Right? Yaani unaona yote ni sawa! Then sina msaada zaidi kwako! Na usisononeke wala kubishana kwani siyo lazima uelewe kila kitu.
 
Saint Ivuga na wewe ni mshamba kiasi hiki? Unamwita ''boss Ruge'' ni bosi wako? Kwa kuwa watangazaji wake wanamwita ''boss Ruge'' basi na wabongo wote wamefuata mkumbo na kumwita ''boss Ruge''. Au mnafikiria hilo neno ''boss'' ni jina? Nchi ya kukariri na kufuata mkumbo!
Haha eti boss ruge

Ilo jina limekaa kizembe kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
+255 679 923 016 DAB
+255 718 101 748 Luge

*piga kuanzia SAA mbili usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Business card na no za simu ni vitu viwili tofauti, Mwenzio kataka business card we unampa no. simu kwani unadhani alishindwa kuandika kuwa anaomba no za simu za hao wahusika?
 
Business card na no za simu ni vitu viwili tofauti, Mwenzio kataka business card we unampa no. simu kwani unadhani alishindwa kuandika kuwa anaomba no za simu za hao wahusika?

umemaliza?
 
Back
Top Bottom