BUSINESS IDEA: Ecommerce website...read and comment

De marco

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
46
Reaction score
106
Salute wakuu, hope harakati zinaenda ipasavyo.

Straight to the point, kuna idea hii ya ecommerce website kwa tz, nmekua nikiifikiria sana na sasa nimeamua kuifanya.

Looking at tz, naona giants kuna jumia, na other listing sites kama kupatana...(add wengine tujuzane zaidi)

Sasa to me, am looking at small traders, hawa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kkoo na sehemu nyingine, there's something that can be done, KUWACONNECT HAWA NA WANUNUZI WA DSM NA HATA MIKOANI.

Naona watu wanaposti bidhaa zao IG, wengine wana account nzuri tu(kudos) , BUT kuna inconveniences nyingi(to be discovered?? product arrangement??, trust??...n.k)

Kama mjasiriamali, najiuliza maswali mengi na nnaona , I CAN DO SOMETHING ABOUT IT...and am doing it for real.

But, as you know, ktk game la entrepreneurship, walking alone utawalk fast tu, lakini walking together will get you far!! SO, naileta idea hii kwenu wadau

Nakaribisha maoni, ushauri and kwa kua ndo naanza, FOR THOSE INTERESTED we can build a team and work together (pm me)

NB: Kwa wale wafanyabiashara, msimu wa sikukuu ndo huoo unaingia, so ntawaletea platform kuadd bidhaa zako, promo tuachie sisi!! Kutakua na OFA kwa members wa JF.

Gracias to all who were lucky enough to read this [emoji56]

A snap of my idea
 
Mkuu safi sana

Fanya kuconnect maduka yote ya vitu utakoviuza,ujue bidhaa zao,na cheapest bei zao.

Unaweza ukawa kama dalali kwenye site yako kwa kuuza bidhaa zao kupitia wewe au ukawa unawaconnect wao na mteja huku ukipata commision yako.

Ungeanza na biashara ya hardwares,vitu vya ujenzi na mashine mbali mbali naona hivo ndo itakua rahisi kuliko kuuza vinguo na simu kama jumia.

Mchawi wetu ni kufanya delivery!je unaweza ukamtumia mtu wa mikoani mzigo wake wa misumari aliouagiza?kwa mda gani?

Nakushauri we anza unavoweza utaboresha kidogo kidogo mkuu kuliko kusikilizia kila kitu kiwe sawa ndo uanze
 
OK thanks nimekupata
 
yaani ingekua na site ya kilimo mazao... vifaa... mbegu.... mbolea na mifugo....

ungepiga pay saaanah....

nyie tatizo munawaza Gucci tu....
mkuu thanks for ur comment,

Ni wazo jingine ambalo nimelipata hapa, BUT kila ktu kna pros and cons zake, idea inaweza kuwa feasible ila co kwa sasa,

Kuna factors nyingi za kuangalia hasa ktk ecommerce site ya kilimo, tofaut na other businesses, so in the future its a possibility ila NOW ....bado
 
Ungetupa Url yake na sisi tuipitie, Tutoe Maoni
Mkuu link itakuja soon, still in development lakin by first week of December ntaidrop hapa

Welcome all JF members, mtajionea best deals za holiday season ukizingatia sasa hivi [HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]

NAAMIN ITAPENDEZA ZAIDI [emoji4]
 
Nitaomba uni tag mkuu ni good idea kuna kipindi nimeshawahi kufikiria issue kama hii
 
Nitaomba uni tag mkuu ni good idea kuna kipindi nimeshawahi kufikiria issue kama hii
Ntakutag ondoa shaka,

Unasema ulifikiria about this, uliplan kufny nn?? na what made u not to execute your idea?? Let's share ili tujifunze zaidi na kujenga KTU k1 as Jf community
 
Nitaomba uni tag mkuu ni good idea kuna kipindi nimeshawahi kufikiria issue kama hii
Ntakutag ondoa shaka,

Unasema ulifikiria about this, uliplan kufny nn?? na what made u not to execute your idea?? Let's share ili tujifunze zaidi na kujenga KTU k1 as Jf community
 
Ntakutag ondoa shaka,

Unasema ulifikiria about this, uliplan kufny nn?? na what made u not to execute your idea?? Let's share ili tujifunze zaidi na kujenga KTU k1 as Jf community
Nilitaman niandikie business plan yake
Ila nikachemsha kwenye operation plan yake cause am not expert wa MIS (electronic commerce )
 
Best of luck... Una idea njema mno.. Na nadhani upo kwenye muelekeo sahihi..

Few things to add.. Usiwe Dalali.. Kuwa facilitator.. And people will pay you facilitation ie.. Background check ya wauzaji.. Honest in buyers.. Transport.. And legal help when needed.. Anything to ensure smooth trade.. Will help set you apart...

Kila lililojema ndio nakutakia..Mjasiriamali wa kimtandao.
 
Nilitaman niandikie business plan yake
Ila nikachemsha kwenye operation plan yake cause am not expert wa MIS (electronic commerce )
Kk dream big.. Details zimanikwamisha sana... Now I know and I care less if I know.. If it sounds right in my dreams someone out there can do.. To make it you have to be willing to fail big.. Get up and do it now.
 
Shukran ndugu, ntatoa taarifa rasmi hapa jf nikilaunch website, naamin tunaweza kusaidiana kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…