- Thread starter
- #21
Changamoto zipi kwa mfano?nzuri ila chanhgamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto zipi kwa mfano?nzuri ila chanhgamoto
Hii website yako ni ecommerce website au classified website au website kama jumia ambayo nafikiri inamikataba na wauzajiSalute wakuu, hope harakati zinaenda ipasavyo.
Straight to the point, kuna idea hii ya ecommerce website kwa tz, nmekua nikiifikiria sana na sasa nimeamua kuifanya.
Looking at tz, naona giants kuna jumia, na other listing sites kama kupatana...(add wengine tujuzane zaidi)
Sasa to me, am looking at small traders, hawa wafanyabiashara wadogo wadogo wa kkoo na sehemu nyingine, there's something that can be done, KUWACONNECT HAWA NA WANUNUZI WA DSM NA HATA MIKOANI.
Naona watu wanaposti bidhaa zao IG, wengine wana account nzuri tu(kudos) , BUT kuna inconveniences nyingi(to be discovered?? product arrangement??, trust??...n.k)
Kama mjasiriamali, najiuliza maswali mengi na nnaona , I CAN DO SOMETHING ABOUT IT...and am doing it for real.
But, as you know, ktk game la entrepreneurship, walking alone utawalk fast tu, lakini walking together will get you far!! SO, naileta idea hii kwenu wadau
Nakaribisha maoni, ushauri and kwa kua ndo naanza, FOR THOSE INTERESTED we can build a team and work together (pm me)
NB: Kwa wale wafanyabiashara, msimu wa sikukuu ndo huoo unaingia, so ntawaletea platform kuadd bidhaa zako, promo tuachie sisi!! Kutakua na OFA kwa members wa JF.
Gracias to all who were lucky enough to read this [emoji56]
A snap of my idea
![]()
Ecommerce, lakini target audience sana ni hawa wafanyabiashara wadogo, especially wale wanaposti bidhaa zao FB na IG , kupitia this website itawajengea MORE REACH, TRUST na kukuza biashara zao (kama inakuhusu,tumia fursa) ...kwani itkua rahisi kuuza bidhaa zao via us rather than social media ambazo algorithms zake sio poaHii website yako ni ecommerce website au classified website au website kama jumia ambayo nafikiri inamikataba na wauzaji
Ecommerce, lakini target audience sana ni hawa wafanyabiashara wadogo, especially wale wanaposti bidhaa zao FB na IG , kupitia this website itawajengea MORE REACH, TRUST na kukuza biashara zao (kama inakuhusu,tumia fursa) ...kwani itkua rahisi kuuza bidhaa zao via us rather than social media ambazo algorithms zake sio poa
HaifungukiSample blog ya ecomercial niliyobunigi blogspot www.jumlasupply.blogspot.com
Nimeicheki mkuu, so changamoto zipi zilikufanya ubugi?? Mchango wako utakua wa muhimu sanaSample blog ya ecomercial niliyobunigi blogspot www.jumlasupply.blogspot.com
Yeah, lkn sisi tunaanza na mobile payments, kwani target market yetu njia hii inafaa zaidi...Navyoelewa mimi ecommerce website malipo yanafanyika online sasa sijui wew umejipangaje
Haifunguki
Ahsante kwa ushauriBidhaaa,Rank/quality,location(if pocbo),pricelist,
-Jitofautishe kwa KUWEKA WAKALA/AGENTS WENY OFIS PHYSCALLY....Karin na maeneo ya biashara(boma,k/koo,ubungo etc)