Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
Mlio na ukaribu na bakresa embu mfikishieni wazo langu 🤔..
Bakresa group inaupiga mengi sana wamewekeza sekta nyingi sana hapa nchini.
Nakutoa ajira kwa watu wengi sana Tanzania na nje ya Tanzania.
Juzi wakati anapewa tuzo ya mlipakodi Bora wa hiyari, Nikaanza kuwaza mwamba kawekeza sana anastahili zaidi ya tuzo.
Sasa katika kuendelea kuwaza na kuazua nikapata wazo😁
Nikawaza huyu muwekezaji(Bakresa ) mbona Kuna jambo bado ajawekeza🤔.
Najua bado unasoma kwa makini kujua wazo langu la kibiashara ni lipi kwa Bakresa..😁🙈
Sina uwezo wa kukutana nae Wala kukutana na watu wake wakaribu sasa acha wazo langu niliweke hadharani..
Bakresa group njooni na AZAM BANK.. hii sekta mmeisahau kufanya uwekezaji..
Mimi binafsi ni videographer na photographer sijui chochote kuhusu benki Wala mambo ya kiuhasibu..😁😁
Ww kijana una bachelor degree ya biashara.. wazo Hilo nakupa ww🙈..
Andaa business plan na proposal Kali. Elezea faida ya bakresa group kuwa na benk..
Anabiashara nyingi viwanda vingi na wafanya kazi wengi sana je atakuwa na faida gani akiwa na benk ?
Aje na mfumo gan wa uuzaji hisa za benk.?
Njia zipi zitakazofanya apate wateja wengi kufungua account za benk (Azam benk)..
Atawafikiaje wafanya biashara wadogo wadogo. Vikundi vya wajasiriamali na wanawake ??
Haya sasa wasomi kazi kwenu mfikishieni Bakresa wazo ilo..
Wazo likitiki mnikumbuke nije kuwa photographer, videographer na graphic designer wa AZAM BANK 🙈🙈. NA content creator wa social media accounts za AZAM BANK..
(UKIWA NA NJAA KILA KITU NI FURSA 🤣🤣)