Business idea kwa Bakresa group. Hii ni zaidi ya fursa

Ana Azam pesa, so bado yupo kwenye wazo lako
 
Business idea yako nzuri tatizo waislamu bank zao hawaeki riba hapo atapata hasara..!!
Na mzee kwa macho ya nje anaonekana mcha Mungu, mtu wa imani.!!

Labda afungue kampuni ya mawasiliano.
 
Business idea yako nzuri tatizo waislamu bank zao hawaeki riba hapo atapata hasara..!!
Na mzee kwa macho ya nje anaonekana mcha Mungu, mtu wa imani.!!

Labda afungue kampuni ya mawasiliano.
Kwel waje na Azamtel
 
Imoji ni ujinga Kwan? Unajua imoji zipo kwny sm kwann?
Inategemea unazitumia wapi,sasa unaandika uzi unaweka imoji wapi na wapi,hayo mambo ya whatsapp

Kwenye comments ni sahihi lkn unaandika uzi hlf unaweka imoji,upo serious kweli?

Ningekuwa mode threads za namna hiyo ningekuwa nazi hariri kwanza kabla hazijawa hewani
 
Ninavyoelewa riba ipo hata katika hiyo benk…Ni vile tu imebadilishwa jina haiitwi riba….Bila riba mfumo wa uchumi wa dunia unakutema!!!.
Wahuni wameweka jina jingine tu
 
Tayari anayo Azampay aka Azam pesa karibu kwa huduma nafuu za pesa.
Labda aipigie zaidi promo hata vijijini apate mawakala wengi
 
Labda kiwanda cha magari ya umeme na pikipiki za umeme
Ukiwa na kiwanda Tz una supply nchi jirani

Ila la Bank ni wazo zuri sana Kama Amana na PBZ
Ila huenda wameona pia hilo kuwa kuna changamoto kwani wanao wataalamu wengi na wazungu wamejaa pia wa Kenya wamo
 
Karibu
 

Attachments

  • Profile-logo.jpg
    123.1 KB · Views: 4
  • Profile-logo-1.jpg
    123.1 KB · Views: 5
Bank ni riba labda ajeni ilekama ya amanabank isoyo na riba
Sisi waislam riba ni dhambi
Dini zote riba ni dhambi hata kwenye Ukristo mikopo na riba ni haramu.
Mifumo ya mikopo na riba ni mifumo ya kifreemason wao ndio umiliki mabenk yote Dunia mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…