Business idea kwa makampuni ya simu, msaada tafadhali!

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,374
Reaction score
1,201
Heshima kwenu wakuu, nina business idea ambayo itawafaa sana makampuni ya simu namaanisha kama vile Tigo, Vodacom, Airtel au TTCL. Nahitaji msaada wa kuelekezwa ni kwa namna gani naweza kuwasilisha hio idea yangu kwao, ni utaratibu gani natakiwa kuufuata!.

Asante!
 
Humu umeingia kuna mbuzi tuna stress vibaya tutautumia uzi wako kukupiga madongo tu.

Ila jamaa yangu mmoja alidai ile swala la voda kua kama kiweka pesa alipeleka yeye idea ila wakamzima. Hivyo kua macho tu mkuu.
 
Shukrani kwa angalizo, vipi hakuna namna za kisheria labda au taratibu za kisheria toka kwa hizi kampuni zinazomlinda mtoa wazo ili kuepukana na mambo kama haya?
 
Nenda ofisi zao omba kuonana na afisa masoko, uanzie hapo.

ila uwe makini kweli ujanja mwingi.
Naishi mkoani mkuu, vipi kwa hizi ofisi zao za hapa mkoani naweza pata ushirikiano wao au mpaka nifike jijini?
 
nafkiri kila mkoa lazima wanaHead office na huko hawawezi kukosekana hao maAfisa masoko....nenda tu.
 
Heshima kwenu wakuu, nina business idea ambayo itawafaa sana makampuni ya simu namaanisha kama vile Tigo, Vodacom, Airtel au TTCL. Nahitaji msaada wa kuelekezwa ni kwa namna gani naweza kuwasilisha hio idea yangu kwao, ni utaratibu gani natakiwa kuufuata!.

Asante!
NiPM mkuu nitakusaidia
 
Shukrani kwa angalizo, vipi hakuna namna za kisheria labda au taratibu za kisheria toka kwa hizi kampuni zinazomlinda mtoa wazo ili kuepukana na mambo kama haya?
Sijajua katika hilo, ingawa jamaa alisema zipo ila sijui kwanini hakuzifuata taratibu hizo
 
Sometimes idea za watu huwa zinaibiwa sana, nakushauri ufanye mpango uwaone wanasheria watakushauri vizuri then ndio uende kwa hao maafisa masoko, hiyo itakulinda pale ambapo hata huyo unayeenda kumwelezea kama atakakuichukua, kumbuka hata huyo afisa masoko ameajiriwa tu hapo nayeye anatafuta hela kukupiga chini nayeye akaichukua ni kawaida kibongobongo.
 
Shukrani asante kwa angalizo!
 
sajili wazo lako,andaa mkataba wa non disclosure kisha anza kwenda ktk hizo Telco companies.
bila kufuata hizo hatua bora tu uiweke hapa idea yako tukupe inputs tu kwani ktk hayo makampuni maofisa wao wanaweza ichukua na kuiuza kwa mtu mwingine kisha wewe ukazungushwa zungushwa tu ukija stuka kuna products kama yako sokoni
 
Back
Top Bottom