Shukrani kwa angalizo, vipi hakuna namna za kisheria labda au taratibu za kisheria toka kwa hizi kampuni zinazomlinda mtoa wazo ili kuepukana na mambo kama haya?Humu umeingia kuna mbuzi tuna stress vibaya tutautumia uzi wako kukupiga madongo tu.
Ila jamaa yangu mmoja alidai ile swala la voda kua kama kiweka pesa alipeleka yeye idea ila wakamzima. Hivyo kua macho tu mkuu.
nafkiri kila mkoa lazima wanaHead office na huko hawawezi kukosekana hao maAfisa masoko....nenda tu.Naishi mkoani mkuu, vipi kwa hizi ofisi zao za hapa mkoani naweza pata ushirikiano wao au mpaka nifike jijini?
NiPM mkuu nitakusaidiaHeshima kwenu wakuu, nina business idea ambayo itawafaa sana makampuni ya simu namaanisha kama vile Tigo, Vodacom, Airtel au TTCL. Nahitaji msaada wa kuelekezwa ni kwa namna gani naweza kuwasilisha hio idea yangu kwao, ni utaratibu gani natakiwa kuufuata!.
Asante!
Sijajua katika hilo, ingawa jamaa alisema zipo ila sijui kwanini hakuzifuata taratibu hizoShukrani kwa angalizo, vipi hakuna namna za kisheria labda au taratibu za kisheria toka kwa hizi kampuni zinazomlinda mtoa wazo ili kuepukana na mambo kama haya?
Shukrani asante kwa angalizo!Sometimes idea za watu huwa zinaibiwa sana, nakushauri ufanye mpango uwaone wanasheria watakushauri vizuri then ndio uende kwa hao maafisa masoko, hiyo itakulinda pale ambapo hata huyo unayeenda kumwelezea kama atakakuichukua, kumbuka hata huyo afisa masoko ameajiriwa tu hapo nayeye anatafuta hela kukupiga chini nayeye akaichukua ni kawaida kibongobongo.