Business ideas (Bure)

Kiukweli biashara ya kukupa faida hiyo labda ufanye sports betting tu usawa huu. Toa M1 anza kubeti kiakili pengine utafanikiwa zaidi. Maana ukijiroga kufungua biashara ya fremu tu haijalishi ni ya mtaji gani jiandae kisaikolojia kugawana faida na mamlaka ya mapato.

Utachezea mitama ya kutosha EFD,Kodi heavy na penalties za hapa na pale hadi akili ikae sawa. Hapo bado huja stabilize sokoni ni hatari sana.
 
Pia unaweza kwenda machimbo ya wachimbaji wadogo wadogo Na kununua dhahabu gramu gramu kisha kauze nairobi

DJ sepetu
Wacha kumpoteza mwenzio aiseeee.....
Hivi biashara ya madini unaijua wewe....[emoji34] [emoji34]
 
!
!
Biashara ngumu sana hiyo. Hata kama utaikopesha kwa 10% bado utatengeneza kama 1.5m tu kwa mwezi kama faida ghafi. Kimsingi ni ngumu kutengeneza faida ya 2m kwa mwezi kwa mtaji wa 15m. Kwa maana hapo unazungumzia 24m kwa mwaka.
 
!
!
Biashara ngumu sana hiyo. Hata kama utaikopesha kwa 10% bado utatengeneza kama 1.5m tu kwa mwezi kama faida ghafi. Kimsingi ni ngumu kutengeneza faida ya 2m kwa mwezi kwa mtaji wa 15m. Kwa maana hapo unazungumzia 24m kwa mwaka.
Nipunguze malengo na matarajio. Then unashauri nifuate njia ipi mkuu
 
Truely speaking kwa biashara ya kufuata masharti yote ya biashara ikiwemo kodi usajili na kadhalika ni ngumu kupata biashara ya net profit 2M kwa mwezi kwa msingi wa 15 M ila ni possible think big mkuu tupambane na hali zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…