Ngaliwe
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 164
- 374
Pia niliwaza kukopesha watu kwa riba, ila Enzi hizi nafikiri rejesho litakua ugomvi1.Toa wazo lako kwanza na eleza upo maeneo ya wapi kwa jina(kijijini/ mjini)! ndio nikupe ushauri.
2.Hizo pesa ni zako au za mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app