Business ideas (Bure)

Mimi ni mkazi wa JIji la Dar es salaam na nimwajiriwa katika sekta binafsi. Nina mtaji wa milioni tatu(3,000,000), Naombeni mnisaidie mawazo ya biashatra gani ninaweza kuifanya kwa mtaji huu nilio nao?
 
Nipe e-mail yako nikupatie list hiyo ya mawazo ya biashara.
 
Nunua deep freezer kubwa uuze mapande ya barafu kwa wauza samaki
 
Mm ni mfanyakazi wa NGO XXX ,NGO hii ni kwa ajili ya kusaidia watoto ambao wazazi wao hawajiwezi kiuchumi kwa kutumia michango tunayopewa na wafadhili.
Sasa tunataka kuanzisha miradi mingine tofauti na mradi tajwa hapo juu!
Je ni mradi gani twaweza Fanya ili kupata kujiongezea mapato tofauti na mapato kutoka kwa wafadhili!
*ninaomba msaada wa kimawazo!mtaji wa mradi siyo tatizo!
 
Wapo wengi, humu utawapata tu
 
We jamaa una style ya uandishi konki kinoma

Achilia mbali madini unayoshusha hapa jamvini
 
Watatu ni iventor,a person who create a new product which never existed before.eg.' Uber invention'
 
Asee shukrani sana japo ni kitambo ulitoa huu mchango, but sio mbaya mkuu ukashea your experience kwa sasa, mfano ulifanikiwa kuanzisha na kuemplement wazo lako? Na mpaka sasa uko katika kiwango kipi mkuu? Tunaomba utupe mrejesho ni vipi ambavyo ulifanya kuweza kubaki salama.
 
Mfano halisi wa winners and losers. View attachment 114442

Do you see why we can't compete? Branding and packaging are the weapon of any successful business.
Vizuri sana bro, iligharimu kama kiasi gani kwa mwaka huo 2013? Je kwa mwaka huu 2019 kuelekea 2020 gharama zitakuwa zimepanda? Mfano ni kiasi gani kitaitajika kufanya mchakato wote huo.
 
asee mkuu we ni nondo asee
 
Wakenya wapo jui kwenye pakeji nzuri embe kama hilo super market ni sh 1500/ ya kitanzani ...
Hivi hatuoni fursa kama hizi ukifanya pakeji na kwenda kuuza maeneo kama ya vyuo pale kuna wateja wengi sh 1000 tu si utatengeneza hela
 
Kweli hapa kwenye packaging hapa kunachangamoto kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…