Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
emanueljonasmacha@gmail.comNipe e-mail yako nikupatie list hiyo ya mawazo ya biashara.
Nunua deep freezer kubwa uuze mapande ya barafu kwa wauza samakiHabari wadau,
Naombeni msaada wa wazo nimechoka kuumiza kichwa mwenyewe..
Ni biashara gani nzuri kwa dar es salaam ya kuuza na kununua (trading) kwa sasa. Biashara ambayo naweza zungusha walau sh milioni 2 au 3 kama "working capital" na nikapata walau sh 30,000 mpaka sh 50,000 kwa siku kama faida.
Ofisi ninayo tayari, leseni na vitu vingine vyote vya kuniwezesha kufanya ila sijajua biashara ya kufanya. Pombe siwezi uza sababu ya kiimani, maji ya jumla maduka kila kona, gesi za nyumani nazo mpaka maduka ya Mangi.
Msaada tutani! [emoji21][emoji21]
Wapo wengi, humu utawapata tuMm ni mfanyakazi wa NGO XXX ,NGO hii ni kwa ajili ya kusaidia watoto ambao wazazi wao hawajiwezi kiuchumi kwa kutumia michango tunayopewa na wafadhili.
Sasa tunataka kuanzisha miradi mingine tofauti na mradi tajwa hapo juu!
Je ni mradi gani twaweza Fanya ili kupata kujiongezea mapato tofauti na mapato kutoka kwa wafadhili!
*ninaomba msaada wa kimawazo!mtaji wa mradi siyo tatizo!
We jamaa una style ya uandishi konki kinomaKijana13 Finance kwa any start up ni uphill battle, lakini guess what it is winnable. Kuna mambo lazima uzingatie kabla ujaanza kuzunguka kutafuta mtaji. Najua umeshasikia hili kwamba kati ya start-up kumi zinazoanzishwa saba zinakufa ndani ya miezi michache. What does this mean for an investor/bank? Start-up are too risky. Na hii ni kwanini start-up too risky, mara nyingi start up nyingi zinaanzishwa na watu wasio na ulewo wa biashara, mbili start up nyingi are just a single product.
Nimejaribu kufikiria jee ni nini entrepreneur angalie kabla hajaanza kuzunguka kutafuta mtaji wa kwa start up. Kwa uchache here is the roadmap.
- Know the numbers behind your business. Ukweli kwamba kama unataka kutengeneza business ambayo utaajiri watu na wewe kupata mafanikio basi lazima ujue namba. Mambo kama lini biashara itakuwa cash positive, Jee kiasi gani cha mtaji unaitaji? Jee Gross Margin zako zitakuwaje? Lini biashara ita break even, Jee ikifika sehemu fulani utaitaji tena mtaji kiasi gani? Jee mauzo kwa mwezi yawe kiasi gani ili uweze kujiendesha mwenyewe. Haya yote ni maswali ambayo lazima ujiulize na uprove majibu yako. Kama utajidanganya mwenyewe kwa kusema aaah nitauza KG 200 kwa mwezi za unga bila hata kujua Bakheresa anauza ngapi, hapo utakuwa unajiingiza chaka.
- Test and Prove your idea. Hapa ndio kikomo cha start up, idea yako itakuwa idea mpaka utakapo ijaribu na kuona inafanya kazi. Mfano mimi nimekuwa nikiwaza sana biashara ya kusindika vyakula, sababu it is not capital intensive, the market is BIG and the process is not complicated. However, nimekuwa muwazi nikitambua kwamba Waatanzania sio walaji wa process food, it's a new product machoni kwa watu so it can be mix results. So, i decide kutest the market, hivyo nitatengeneza prototype (za majaribio) na naanza na maharage kwanza, nita process 100 jars za 1/2KG Mbeya beans, kisha 20 nitagawa for different people from different background, kisha baada ya muda nitachukua survey kuona wameonaje. Kama watapenda then i know this idea can be product to the mass, kama hawa 20 wakisema NO then am ending this nonsese and think about something else. Hivyo ni muhimu sana kutest market before anything.
Kama hayo mawili hapo juu yote ni provable then unaweza kusema kwamba wewe sasa una biashara. Ileweke kwamba kuna tofauti ya biashara na idea. Financing ziko za aina kadhaa lakini kwa start-up i will only focus on two: Angles Investors ( Mama mdogo, uncle, mjomba, jirani, kaka yako, someone you know), hawa ni jamaa zako ambao wanakuamini wewe, take your idea to this folks and ask for a certain capital with a Promise of percentage ownership katika biashara yako. Kumbuka to own 70% of a business is better than own 100% of an idea with no capital. Second is debt finance (Bank, Vikoba, Saccoss, private equity, n.k). These are the folks who doesnt know you, and they don't care about your product they only care for ROI of their money. Nakupa 1,000,000 prove utairudisha in 6 month with 20% interest rate. How to face this mean people? Below is 1,2,3
- Have a some revenue, hawa jamaa wanataka kuona jee umeshatengeneza hela. Means your business is not an idea any more. So, make sure biashara ishasimama hata kwa mguu moja kabla ya kwenda Bank kukopa.
- Be prepared: Kumbuka hawa jamaa only thing they care is their money, so lijue soko, jua forecast zako, zijue namba zako vilivyo na hapa kama uliandikiwa Business Plan be ready kutoka jasho la kwapa.
- Get use to the word "NO", jiandae kabisa kwamba wapo watakao kukwambia No lakini don't give up.
I hope this point chache zinaweza kutoa mwanga kidogo, lakini kumbuka ya kwamba wewe ndio unaijua biashara yako kushinda mtu yoyote, hivyo no one can stop you to make it happen.
Kaza msuli haya mambo yanawezekana, 80% ya kuendelea ni kujiandaa kimawazo, kama umejipanga kimawazo unakwenda. Jamani hawa kina Manji, MO, Mengi, Azam waliwezaje? If you have a tough skin kama kenge, then this is your field. Lakini kama ukipoteza 10,000Tsh unakosa usingizi, basi please kaa huko huko kwa muajiri. Failure is not permanent.
Asee shukrani sana japo ni kitambo ulitoa huu mchango, but sio mbaya mkuu ukashea your experience kwa sasa, mfano ulifanikiwa kuanzisha na kuemplement wazo lako? Na mpaka sasa uko katika kiwango kipi mkuu? Tunaomba utupe mrejesho ni vipi ambavyo ulifanya kuweza kubaki salama.Kijana13 Finance kwa any start up ni uphill battle, lakini guess what it is winnable. Kuna mambo lazima uzingatie kabla ujaanza kuzunguka kutafuta mtaji. Najua umeshasikia hili kwamba kati ya start-up kumi zinazoanzishwa saba zinakufa ndani ya miezi michache. What does this mean for an investor/bank? Start-up are too risky. Na hii ni kwanini start-up too risky, mara nyingi start up nyingi zinaanzishwa na watu wasio na ulewo wa biashara, mbili start up nyingi are just a single product.
Nimejaribu kufikiria jee ni nini entrepreneur angalie kabla hajaanza kuzunguka kutafuta mtaji wa kwa start up. Kwa uchache here is the roadmap.
- Know the numbers behind your business. Ukweli kwamba kama unataka kutengeneza business ambayo utaajiri watu na wewe kupata mafanikio basi lazima ujue namba. Mambo kama lini biashara itakuwa cash positive, Jee kiasi gani cha mtaji unaitaji? Jee Gross Margin zako zitakuwaje? Lini biashara ita break even, Jee ikifika sehemu fulani utaitaji tena mtaji kiasi gani? Jee mauzo kwa mwezi yawe kiasi gani ili uweze kujiendesha mwenyewe. Haya yote ni maswali ambayo lazima ujiulize na uprove majibu yako. Kama utajidanganya mwenyewe kwa kusema aaah nitauza KG 200 kwa mwezi za unga bila hata kujua Bakheresa anauza ngapi, hapo utakuwa unajiingiza chaka.
- Test and Prove your idea. Hapa ndio kikomo cha start up, idea yako itakuwa idea mpaka utakapo ijaribu na kuona inafanya kazi. Mfano mimi nimekuwa nikiwaza sana biashara ya kusindika vyakula, sababu it is not capital intensive, the market is BIG and the process is not complicated. However, nimekuwa muwazi nikitambua kwamba Waatanzania sio walaji wa process food, it's a new product machoni kwa watu so it can be mix results. So, i decide kutest the market, hivyo nitatengeneza prototype (za majaribio) na naanza na maharage kwanza, nita process 100 jars za 1/2KG Mbeya beans, kisha 20 nitagawa for different people from different background, kisha baada ya muda nitachukua survey kuona wameonaje. Kama watapenda then i know this idea can be product to the mass, kama hawa 20 wakisema NO then am ending this nonsese and think about something else. Hivyo ni muhimu sana kutest market before anything.
Kama hayo mawili hapo juu yote ni provable then unaweza kusema kwamba wewe sasa una biashara. Ileweke kwamba kuna tofauti ya biashara na idea. Financing ziko za aina kadhaa lakini kwa start-up i will only focus on two: Angles Investors ( Mama mdogo, uncle, mjomba, jirani, kaka yako, someone you know), hawa ni jamaa zako ambao wanakuamini wewe, take your idea to this folks and ask for a certain capital with a Promise of percentage ownership katika biashara yako. Kumbuka to own 70% of a business is better than own 100% of an idea with no capital. Second is debt finance (Bank, Vikoba, Saccoss, private equity, n.k). These are the folks who doesnt know you, and they don't care about your product they only care for ROI of their money. Nakupa 1,000,000 prove utairudisha in 6 month with 20% interest rate. How to face this mean people? Below is 1,2,3
- Have a some revenue, hawa jamaa wanataka kuona jee umeshatengeneza hela. Means your business is not an idea any more. So, make sure biashara ishasimama hata kwa mguu moja kabla ya kwenda Bank kukopa.
- Be prepared: Kumbuka hawa jamaa only thing they care is their money, so lijue soko, jua forecast zako, zijue namba zako vilivyo na hapa kama uliandikiwa Business Plan be ready kutoka jasho la kwapa.
- Get use to the word "NO", jiandae kabisa kwamba wapo watakao kukwambia No lakini don't give up.
I hope this point chache zinaweza kutoa mwanga kidogo, lakini kumbuka ya kwamba wewe ndio unaijua biashara yako kushinda mtu yoyote, hivyo no one can stop you to make it happen.
Kaza msuli haya mambo yanawezekana, 80% ya kuendelea ni kujiandaa kimawazo, kama umejipanga kimawazo unakwenda. Jamani hawa kina Manji, MO, Mengi, Azam waliwezaje? If you have a tough skin kama kenge, then this is your field. Lakini kama ukipoteza 10,000Tsh unakosa usingizi, basi please kaa huko huko kwa muajiri. Failure is not permanent.
Vizuri sana bro, iligharimu kama kiasi gani kwa mwaka huo 2013? Je kwa mwaka huu 2019 kuelekea 2020 gharama zitakuwa zimepanda? Mfano ni kiasi gani kitaitajika kufanya mchakato wote huo.Mfano halisi wa winners and losers. View attachment 114442
Do you see why we can't compete? Branding and packaging are the weapon of any successful business.
Pia unaweza kwenda machimbo ya wachimbaji wadogo wadogo Na kununua dhahabu gramu gramu kisha kauze nairobi
DJ sepetu
Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya kazini haitoshi. Lakini kikubwa nimeona watu wanavyoumiza kichwa kujua nini wafanye, wengi wamekuwa waigizaji au copycat. Kwenye biashara kuna watu wa aina tatu Innovator, imitator and ------, hivyo try to be innovator.
Ok enough of blah blah. Mpango wangu katika post hii ni kuainisha biashara 6 ambazo mtaji wake ni less than 10,000USD exclude a working capital.
1. Food Processing and Packaging: (The truth ni kwamba agro product zetu hazipo kwenye mashelf ya supermarket za dar sababu the packaging sucks. Nilinunua bottle ya mbilimbi pickles, yaani product is taste lakini the package ni aibu. Biashara yoyote inayohusu chakula una potential ya kuikuza at least by 15% annual. Food ambazo unaweza process includes Maharage, mahindi mabichi, samaki, njegere, mchicha na nyingine nyingi. Sio lazima kutengeneza pilipili everybody is doing it.
2. Maize and Rice Milling: Najua hapa wote mtasema oooh Azam na Jogoo wameshika soko, guess what kuna at least 20% ya market share ambayo ni nobody territory. Unachotakiwa ni kujitofautisha (Differentiation Strategy) na Azam na Jogoo.
Here is how:
(a) Kiwango (Quality), hakuna atake nunua unga wako kama ukikaa ndani unaoza,
(b) Urahisishaji (convenience) hapa sio kwenye price bali kwenye packaging, funga katika ujazo wa 1/2KG, 1KG, 2KG, 5KG na 10KG. Zama za mizani zimekwisha.
(c) Bei shindani (competitive price), kumbuka zama za kulopoka kwamba kilo 1,000 zimekwisha. Have all the facts behind your numbers, jua gharama za uzalishaji (Direct Cost & Indirect Cost), pricing is an art sio kulopokwa tuu sababu everybody is selling 1,000 basi na wewe 1,000.
3. Quick Car Wash,Tire Repair, Oil and Lubes: Kila mtu anaona magari yanavyongezeka Tanzania, the good news ni kwamba this is nothing in the next 10 years idadi will double. Means kwamba opportunity and opportunity for entrepreneur. Nimeita quick sababu quickness ndio inakutofautisha na wachaga walio na sehemu hizi.
Kumbuka we are not trying to bring new business into the market we're either changing the process or improve the service that's it. So, hapa unaitaji air compressor ya mid size, hydraulics car jack za ukweli sio vile vijeki mshenzi ambavyo lazima utumie msuli. Remember quickness here at least 10 minutes mtu hayupo.
4. Bakery, fast food restaurant and Pizza Place: Tanzania sasa imeamka jamani sio miaka ya 1980s ambapo watu walikuwa wananua maandazi ya kufunga na gazeti, watu sasa wanataka good product, well packed and delicious. Cha muhimu hapa ni location, ukienda kufungua hii venture kigogo huko au kwetu kimanga am sorry no one will recognize it.
Angalia location and target "middle income consumer" wanaojifunga tai na michuchumio ( facebook/twitter generation). Hapa pia kumbuka quickness is a key, watu wanajaribu kuishinda foleni, so no one will give you 20mins umfungie maandazi.
5. Mobile entertainment: Hapa kama una ujuzi wa kuwaza unaweza kutengeneza pesa mpaka basi. Over 20% ya Watanzania ni watoto 12years and younger. Means kwa dar tuu wapo watoto zaidi ya laki 6. Kila mdada anajaribu biashara ya kuleta bounce house kwenye birthday za watoto, that is so 1960s. Watoto wa siku hizi wapo 9 hours ahead, fikiria outside the box. Kumbuka hi St. Majanga zote zilizojaa dar ukiwa na good mobile entertainment idea you will partner with all of them. This is pure money...
6. Mobile Fast Food Restaurant: Wenyewe mnaona jinsi KFC au subway zinavyojaza au container pale morocco, lakini hawa wote ni "brick and mortar" hawewezi kuwafata wateja posta, coco beach. Wewe unafanya mapinduzi, kumbuka business is always about revolution if you evolve yatakupata ya Blackberry.
Kama una idea nyingine weka hapa, zama za kuamini kwamba idea yako watu wataichukua is nonsense, sababu wewe unaijua idea yako kushinda mtu mwingine. Kama mimi all those 6 are my ideas. Let soko liwe jaji.
Mungu akijalia wakati mwingine nitaandika tumia social media to make miracle in your business. Na hapa you will see how facebook, twitter, blogs can make revolution for your business. Remember we do not bring anything new in the market, we are either change, process au improve service.
Mkuu habar! Mimi pia nahitaji unisaidie hiyo listNipe e-mail yako nikupatie list hiyo ya mawazo ya biashara.
Kweli ndgAisee JF ni kila kitu. Asante
Safi sanaWakuu basi nimeprocess Jam just to show mfano. Nimefanya Leo in my kitchen. View attachment 114437View attachment 114438View attachment 114439View attachment 114440
Hii is good for 3 years. Kuna other process zijaonyesha kama kuseal lead na nyingine. But you have an idea how package can change the world.
Kweli hapa kwenye packaging hapa kunachangamoto kubwa sanaUmetoa very good observation Mtanganyika. Packaging na ile genaral presentation ya bidhaa inatunyima masoko sana. Kwa mfano packaging ya maziwa ya Tanga fresh huwa inanishangaza sana. Iko vile vile, style ile ile miaka nenda miaka rudi. Inamaana huwa hatufanyi improvemt ya bidhaa zetu kulingana na feedback toka kwa wateja na soko kwa ujumla! Hatujawa agressive ktk ku compete kibiashara. Unakuta hadi toilet paper watz tunatumia zinazotoka nje sababu zakwetu ni sawa na vumbi tu hazifai hata muonekano wa nje hauvutii kuinunua!