Ni kweli kabisa kwamba njia moja wapo itakayokuwezesha kuanzisha biashara yako ni mtandao.Fananisha mtandao kama ni shamba kubwa ambapo mtu unaweza kulima mazao yako, na tovuti ni kama mmea utakaokuwezesha kuvuna matunda yako (kipato).Utakapotunza mmea wako vizuri ndio utakapopata mazao yenye ubora.Kufungua tovuti ndio njia pekee itakayokuwezesha kuendesha biashara yako au huduma zako na pengine kukuingizia pesa .Hiyo utakapokuwa na tovuti mtandaoni basi ni lazima uifanye kama kitegauchumi kitakacho kuingizia kipato.Ijapokuwa kufungua tovuti au kufanya biashara ya mtandaoni ni rahisi lakini kuna changamoto zake.Ni biashara ya aina gani unataka uianzishe ,walengwa wake ni akina nani, bidhaa gani unataka uwauzie,njia zipi za kuwasambazia?. Vitu kama hivi ni muhimu kuvijua ili kuweza kufungua tovuti kwa ajili ya biashara yako.
Sio lazima unapofungua tovuti iweze kukuingizia kipato.Hapa inatokana na lengo lako wewe unafungia kutimiza matakwa gani.Tovuti zisizo ingiza kipato mara nyingi ni tovuti za kutoa taarifa/habari kwa jamii kama tovuti za shule na vyuo.Lakini kumbuka mtandao ni soko kubwa linalokua siku hadi siku hivyo linaweza kutumika kama njia mojawapo ya kukutafutia wateja.Mbinu na mikakati madhubuti ndiyo jambo la msingi katika kufungua biashara yako ya mtandao.Utakapofungua tovuti bila ya kujua ni kitu gani unataka ukiweke ,itakuwa ni vigumu kutengeneza kipato chako.Hivyo basi ni njia gani zitakazo kuwezesha kufungua tovuti yenye mafanikaio?.Fuatilia lengo moja baada ya linguine katika Makala hii;
Inaendelea hapa Jinsi Ya Kuanzisha Biashara