Business ideas (Bure)

Business ideas (Bure)

Mimi ni kijana niliyehitimu elimu yangu ya juu 2016 UDSM katika kukabiliana na changamoto za kutafuta kazi nimekamwa
Hivo basi nimeamua nijiajiri mwenyewe kwa kufanya biashara na nimeweza kupata mtaji wa Tsh 20 mil kwa dungu jamaa na marafiki . Je ni biashara gani naweza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nikupe ushauri muhimu. Kwanza kumbuka mtaji wako ndio amala yako, ukienda kujaribu kwenye kitu ambacho hukijui na huna mapenzi nacho basi ubusu busu ya kwaheri maana utapotea tuu.

Nikupe simple ushauri, kwanza weka pesa hiyo bank, ondoa pressure ya kwamba lazima uanze biashara week hii au mwezi huu au saa hii. Aza kundika ideas zako kwenye karatasi, wewe zijaze tuu na uwe unazirudiarudia kuzisoma na kuzifanyia research mpaka utapata moja ambayo inamashiko. Ukiipata nenda mazima, fanya kazi mchana na usiku na nakuhakikishia utapata return kubwa.

achana kabisa na idea za sijui kakopeshe, sijui nunua bond. Achaaa kabisa, idea nzuri are simple.
 
Kwa huu mtaji usikurupuke ghafla kuanza biashara, Fanya research then ingia kwa biz.
Zingatia haya.
Ushawahi kufanya biashara hata kidogo?
Kama bado,
>Anza na Tsh 5 mil..Fanya agribusiness.. Weka stock mahindi na mpunga ,maana kufikia December mpka February vitapanda bei then uza..
>tsh 15 mil keep for liquidity.
Nimekushauri uanze na hyo biz coz haina double taxation from TRA..
Kadri unavyoendelea ndio maarifa ya kuizungusha hyo pesa ki biashara yataongezeka.
Plz usidumbukize pesa yote(20 m) in biz.
 
Mkuu naomba nikupe ushauri muhimu. Kwanza kumbuka mtaji wako ndio amala yako, ukienda kujaribu kwenye kitu ambacho hukijui na huna mapenzi nacho basi ubusu busu ya kwaheri maana utapotea tuu.

Nikupe simple ushauri, kwanza weka pesa hiyo bank, ondoa pressure ya kwamba lazima uanze biashara week hii au mwezi huu au saa hii. Aza kundika ideas zako kwenye karatasi, wewe zijaze tuu na uwe unazirudiarudia kuzisoma na kuzifanyia research mpaka utapata moja ambayo inamashiko. Ukiipata nenda mazima, fanya kazi mchana na usiku na nakuhakikishia utapata return kubwa.

achana kabisa na idea za sijui kakopeshe, sijui nunua bond. Achaaa kabisa, idea nzuri are simple.
Fata pia huu ushauri ni mzuri xna..
Investigate, take time then be an Entrepreneur.
"Employing yourself is more than trusting yourself"
 
Back
Top Bottom