Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
I'd suggest forex trading. If you have the right skills you can make it!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kama ameipata yaurithi??Kwanini usiendelee kuwekeza zaidi kwenye hiyo kazi iliyokupa 15M ?
Huwezi kuja kwenye public kama hv unamilion 15 na kutaka kufanya biashara ya upate 2mil per mouth unataka kutapeliwa ama je jiulize hizo hela kapataje atoe mchanganua watu wamuelewe kama kakopa bank tujue kama kamwaga damu ha hahah hapo ndio balaa dili zingine ukipiga hela huwa haziendelezeki zaidi zaidi labda upige bia cha msingi aende kwenye taasisi za ushauri wa biashara watamsaidia Ila sio humu kuna maharamiawatu bwana.kwahiyo wewe kwako milioni 15 ni hela nyingi sana. angesema ana milioni angalau 100 anaomba ushauri sijui ungefanyaje?
watu wenye mawazo kama ya kwako mnakufaga masikini.nina mifano hai.Huwezi kuja kwenye public kama hv unamilion 15 na kutaka kufanya biashara ya upate 2mil per mouth unataka kutapeliwa ama je jiulize hizo hela kapataje atoe mchanganua watu wamuelewe kama kakopa bank tujue kama kamwaga damu ha hahah hapo ndio balaa dili zingine ukipiga hela huwa haziendelezeki zaidi zaidi labda upige bia cha msingi aende kwenye taasisi za ushauri wa biashara watamsaidia Ila sio humu kuna maharamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa mchango makini mkuu.!
!
Punguza matarajio. Kwa kiasi hicho mimi Nafikiri unaweza kutarget faida ya kuanzia 1m. Itacheza humo humo tu na itakuwa fresh. Mfano unaweza kujiingiza katika biashara ya chakula itakulipa hasa kama uko Dar Es Salaam
Jamvi hili pia linawashauri makini Mkuu, with respect unachoabiwa ukichanganya na chako unaweza kupata ushauri wa biashara makini tu, ninaowadau waliofanikiwa kwa kuchukua na kuendeleza mawazo ya Humu Jamvini tu.Huwezi kuja kwenye public kama hv unamilion 15 na kutaka kufanya biashara ya upate 2mil per mouth unataka kutapeliwa ama je jiulize hizo hela kapataje atoe mchanganua watu wamuelewe kama kakopa bank tujue kama kamwaga damu ha hahah hapo ndio balaa dili zingine ukipiga hela huwa haziendelezeki zaidi zaidi labda upige bia cha msingi aende kwenye taasisi za ushauri wa biashara watamsaidia Ila sio humu kuna maharamia
Sent using Jamii Forums mobile app
nilidunduliza ili ninunue kiwanja, niangalie suala la ujenzi..ila nimeishi kwa kujibana sana kwa miaka hii miwili nimeona nikiingia tu kwenye kiwanja kwa sasa nitazika pesa yote ndio maana nikaweka wazo la kutafuta biashara ili atleast in 5 years nianze kujenga..at the same time mambo mengine ya kimaisha yaendeleeNafikiri unao mtaji , lakini mtaji pia sio mdogo ila pia sio mkubwa . kila Biashara inahitaji mtaji pesa mtaji wazo ndio wa msingi zaid kuliko pesa, na hapa naona unataka wazo.this is beautiful and interest ing Maswal mengi ya wachangiaji yamejikita kujua were uliwaza nn hadi ukafikiri faida ya mil. 2 kwa mwezi . tambua kwamba high risk high return. Matokeo ya unachowaza nakifahamu . unataka uende kwenye magendo ambayo ndo yanaweza kukupa hiyo faida lakn nakuhakikishia hutavuka kwa utawala huu, Na usisahau wapo wenye mtaji mkubwa kuliko huo watapenda wapate faida hiyo au zaid lakn wanashindwa . yule aliueshaur mazao alilenga vyema ingawa kuna factors. Na challenges . ushauri wangu binafsi naomba ufute kwanza ideology ya 2mil/ month. Kwenye mawazo yako viinginevyo uweke busnes plan mezani tuichambue zaid . ukipendezewa tuwasiliane in box 0712 018998. Good day
Sent using Jamii Forums mobile app
Plan ilikua kiwanja na kuanza ujenzi huku nikiendelea kuajiriwaKama Uliweza Kujikusanya ukapata 15m kwa miaka 2.Ni dhairi ulikuwa na malengo yako Binafsi..Tuwekee Hapa plan zako Za kabla tukushauriii.Vinginevyo utakuwa Unatudanganya na pesa za Urithi..Kama ni pesa ya Urithi nakushauli nunua Kiwanja tu.vinginevyo zitaisha ujafanya kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipitia post ya Bwana ONTARIO hadi nikafungua demo account ila sielewi kabisaForex anza na usd 1000 kila wiki utalala na 500usd
Studio ya picha au mziki?!Mkuu njoo tuanzishe studio hio hela inarudi mara mbili ndani ya mwaka kama uko serious kweli.
Music production mkuuStudio ya picha au mziki?!
Hio forex tueleweshane basi, at least ujue nn kinafanyikaNilipitia post ya Bwana ONTARIO hadi nikafungua demo account ila sielewi kabisa
UsijaribuPia niliwaza kukopesha watu kwa riba, ila Enzi hizi nafikiri rejesho litakua ugomvi
Duh, hapo game ngumu kakaMusic production mkuu