Business ideas (Bure)

Business ideas (Bure)

Nadhani pia maelezo yako ungeyajazia nyama nyama, kama huko serikalini unafanya kazi gani na una muda gani tangu uajiriwe, pia upo mkoa gani na kubwa kuliko naamini kuwa kila mwanadamu ana wazo liwe baya au zuri so wewe kabla ya kupewa wazo ulikuwa na wazo gani ili tuone kama litahitaji kurekebishwa au kupewa wazo lingine
Akhsante nawasilisha
Asante kaka kwa maelekezo mazuri, mie nina miaka takribani 7 tangu nimeajiriwa kama mwalimu wa sekondari na niko mkoani Mbeya. mara kadhaa nimetamani sana kuwa mfugaji na mkulima zaidi, specifically kuwa na mf:mabwawa ya samaki, kilimo kwa maana ya mbogamboga na matunda. nimeshindwa kuvitekeleza hivi kwa sababu ya capital. hivyo ningetamani kupewa mawazo kwamba yamkini naweza pata namna mbadala ya nini cha kufanya. lakini kwa hakika nikipata chance natamani kuwa na wazo langu.
 
Teh mi sijui nitajiajiri lini, sijui ndio nimebweteka na haka ka kazi ka serikali masaa 8 tu kwa wiki kwa naona nipo free mno hata kufanya mambo mengine
Kumbe unafanya kazi serikalini ndio maana unabwabwaja hapa kutetea ujinga wa serikali na ccm yake ghaaaa nimekupuuza maana unatetea ugali wako.yaelekea umeolewa na polepole au kada wa ccm.


Swissme
 
Kwa Tz. Ni kuwa tu mwanasiasa. Jipendekeze CCM. Pambana ipo siku utatoboa. Si unaona bashite nwenzio alipofika sasa? Bila kujipendekiza na kuchanwa mali** hasingekuwa hapo ivi sasa.
 
Tetete ugali wa kada mwenzako na ujifariji na uiinga wako


Swissme
uko moto 😀😀😀
Mi ni mhanga wa hii ccm ila inaoneka we umekufwa kabisa pole

mleta thread tusamehe bure mi nasepa hivo samahani kwa kuchafua uzi wako
 
Taratibu utanielewa....
Sina haja ya kukuelewa kada wewe.nilijua unatetea serikali kama raia kumbe unatetea ugali wako kada wewe na natumain aliyekuoa ni jambazi la ccm kada mwenzako ipo siku kibarua kitaota na utajitambua tu.



Swissme
 
Hivi ni kwamba watu hawana hayo mawazo au!! Maana porojo nyingii na wazo silioni nimesubiri hadi basi [emoji16][emoji16]
 
Ndugu wadau, naombeni kusaidiwa wazo la kutoka kimaisha. natamani kuacha kazi ya kuajiriwa(serikalini) na kuanzisha (kucreate) business au jambo litakalonifanya nisisubiri malipo ya mwisho wa mwezi. Naomba changia kwa busara
Mimi nipo shinyanga kahama.Kuna kijiji kina Umeme lkn hakina kabisa Mashine ya kukoboa na kusaga.Watu wake wanapata shida sana ya kwenda vijiji vya mbali.Kama Wazo hili litakufaa pls nakuomba unipm tuongee.
 
Teh mi sijui nitajiajiri lini, sijui ndio nimebweteka na haka ka kazi ka serikali masaa 8 tu kwa wiki kwa naona nipo free mno hata kufanya mambo mengine
Inabidi ufurahie na uenjoy wengine kazin saa1 asubuh wanatoka saa 1 jion 6day kwa week mpaka kuajiliwa wanaona tabu
 
litazame soko yaani eneo ulilopo na ujue kipi ni kero kwa eneo ulipo then tafuta tiba ya tatizo hilo, suruhisho la tatizo ilo ndo litakulipa mkuu. kuwa jasiri na mvumbuzi
 
Usibishane na waswahili kama huyo
Una shida nadhani ukiiona id yangu unakunja sura, pole naona nimekufanya uione jf chungu, acha mambo ya ki dada fanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom