Business loan

Di Ara

New Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Hello buddies
Naomba kuuliza kama kuna entity yoyte au group fulan or individual ambayo wanaoffer loan kwa pharmacies business, nina uhitaji huo
 
Mikopo ya biashara ipo but iko very complicated.mkopo rahisi kuchukua ni wa kutumia gari au kiwanja iwe dhamana yako.
 
Mkuu taasisi gani wanakopesha kwa dhamana ya gari??
 
Kuna sehem niliwah kupelekwa maeneo ya oysterbay/mbuyuni maeneo ya best bite ila nimesahau kidogo jina la kampuni.
Halaf uzur wao wenyewe wanachukua kadi gari yako wanakuachia.
 
Poa poa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…